Naomba kujuzwa alipo mfanyabiashara Alex Masawe

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Huyu ni nguli maarufu sana na ni mfanya biashara ni zaidi ya miaka 6 au 7 tatu apotee na hadi sasa hajulikani aliko na sijawahi kusikia habari zake kama yuu hai au alishatangulia mbele za haki na mpaka sasa kimya hafi kasahaulika.

Naomba kama kuna mwenye taarifa zake aweke hapa.
 
Kweli mkuu jamaa kimya sana mara ya mwisho nilisikia amekamatwa dubai baada ya msako wa muda mrefu sana wa polisi kwa kushirikiana na Interpol
 
Kweli mkuu jamaa kimya sana mara ya mwisho nilisikia amekamatwa dubai baada ya msako wa muda mrefu sana wa polisi kwa kushirikiana na Interpol
Mkuu hua tunasikia tuu serikali imemkamata mhalifu fulani lakini hua hatusikii wamemfikisha wapi hadi anasahaulika
 
Wewe unaemtafuta ALMA umechoka kula nyama au unataka ndugu zako wale ubwabwa ? Maisha unayaona magumu ?? Endelea.. Unachokitafuta utakipata
 
Nyau nao sikuhizi wanatisha? Jambazi Masawe hadi Hotel zake kabadilisha zinaitwa Deluxe Hotel ndani chafu balaa.. inaelekea kahonga honga huko so katulia kimya kudadeki chezea uma zama za kutishana zishaisha na mkizidisha vitisho mbuzi vya kijinga ndio tunatafuta tarumbeta kumsaka Uraiani Alex ni Maarufu... hafichiki akileta zake bakora tu atachezea... so Maisha yake aishie kujificha tu... Pumbavu
 
Yupo Kemptoni park,Johannesburg hata kipindi kile mara amekamatwa Dubai mara sijui wapi yupo hapo ni Mzee aisee huwezi amini matukio yake na umri aliokua nao nimemuona kipindi cha sarakasi zenu za kwamba amekamatwa Dubai kumbe yupo kwa babu tuu hapo...huku kila mtu Mamba atishwi mtu....
 
Ila jamaa alitishia sana na chongo lake. Labda kastaafu mda huu. Vipi na rafikiye chonjo
 
Back
Top Bottom