binafsi naona huyu jamaa siasa sana kuliko utendaji ni kati ya mawaziri mizigo ktk baraza la mawaziri la jpm hadi muda huu hamna anachofanya ktk serikali ya viwanda ambayo tunatarajia kupata...
Yoshua 1:5
"Hapata kuwa na mtu yeyote atakayeweza kusimama mbele yako;Kama nilivyokuwa pamoja na Musa ndivyo nitakavyokuwa na wewe; Sitakupungukia wala sita kuacha"
Bila kujali hali zetu za sasa...
NA GERALD KITALIMA
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhandisi Richard Ruyango ameliagiza jeshi la polisi katika wilaya hiyo kumkamata na kumfikisha mahakamani Mganga wa zahanati ya Kibanga wilayani humo...
Siyo Siri tokea nianze kumfuatilia Mange Kimambi nilikuwa kama vile namwona ' hamnazo fulani ' vile ila na Mimi nilipoamua kukituliza rasmi ' Kichwa ' changu, kumtafakari na kuyapima kwa marefu na...
Moja kwa moja kwenye mada. Mara baada ya iliyokua CDA kuvunjwa na Rais Maguli, suala la kupanga matumizi ya ardhi na usimamizi iliachiwa halmashauri.
Utendaji wa kitengo hiki hasa utunzaji wa...
Jana nilibahabika kuangalia usaili huu wa Vijana wetu kupitia klabu hii. Vijana wengi waliojitokeza ni wa kidato cha nne na ninatumaini hawana shughuli maalum za kufanya. Asilimia 90% ya...
Mmeona tangazo la leo la NECTA? Maswali ya mtihani wa darasa la 7 yameshushwa kutoka 50 hadi 45 kwa somo na kati yake 40 ni "Multiple choice"..... kwa hiyo almost mtihani mzima ni mwendo wa kuinua...
*FURSA FURSA FURSA*
*HII NI FURSA KWA AJILI YAKO WEWE MJASILIAMALI UNAYEPENDA MABADILIKO YA KIUCHUMI*
*TIMU YETU KWA SASA KWA KUTAMBUA MAHITAJI YA UPUNGUFU WA YA UJASILIAMALI KUHUSU...
Baada ya watumishi waliokuwa na Elimu ya darasa la saba "kutimuliwa mbali"
Zilitoka nafasi za watendaji wa Kata, Vijiji, na mtaa huku Mkoani kwetu na moja ya sifa zilikuwa Elimu isiyopungua form...
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.
2.Tembo anaukubwa wa tani 7
3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa...
Habari wajuvi Wa kunyanyambua na kudadavua!
Tangu serikali hii ianze kazi, imekuwa na utaratibu Wa kuwa na kigugumizi katika utoaji Wa taarifa za magonjwa ya milipuko,
Mtakumbuka Taasisi nyingi...
HABARI,
Kwa taarifa hizi zilizoandikwa kwenye magazeti sio za kubezwa ila ni vitisho tu na vita inayoendelea hasa vya watu wasiopenda maendeleo ya sasa ya taifa letu.Kama ni kushinikiza kazi...
Kama zamani wakati unakuwa uliwahi kuwaza kumtumikia Mungu, lakini badae ukapiga kona kwenye maisha mengine leo nina ujumbe wako;
Watu wengi wamedanganywa sana na shetani kupitia kiwanja cha...
In the Book of Genesis of the Hebrew Bible, chapters one through five, there are two creation narratives with two distinct perspectives. In the first, Adam and Eve are not mentioned (at least not...
Waziri wa sheria na Katiba Prof Paramagamba Kabudi akizindua Mpango wa usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa mkoa wa Simuyu na Mara kwa watoto wa miaka mitano.
Hivi karibuni Waziri wa...
Wadau habari,
Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari!
Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000
Mkoani Morogoro?
Nimeota nimepata msichana, akanipeleka kwenye synagogue, Huko nikanyweshwa maji ya zamzam Na kulishwa manyama.
Naomba mnisaidie kujua maana yake.
1. Nataka nijue maana ya kupata msichana ndotoni...
WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva wake ameshindwa kulimudu na kuparamia duka la dawa za binadamu.
Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.