Huu ni ukweli mchungu.
Nimejaribu kuangalia live performance za wasanii mbalimbali bongo kuanzia hao akina diamond na ali kiba, sijui weusi na wengine wengi sana, wote hamna kitu. Kusema ukweli...
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro anawashukuru Wananchi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi la Polisi jambo ambalo limesaidia kupunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa hapa nchini...
HAPPY RESURRECTION DAY "EASTER"
And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified. He is not here: for he is risen, as he said...
Kwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi.
Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye...
Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport....
Amejishikiza kwa mbongo nae maseke...
Miaka ya 1980 na 1990 kwenda 2000 kulikuwa na watu wanadaiwa kuwa ni wanyonya damu. Magari ya msalaba mwekundu tulikuwa kukikutana nayo lazima tutoke mbio kwa hofu ya kunyonywa damu.
Binafsi mimi...
SALAAM WANDUGU!
*SARAPHINER ZABLON URIO*
AMEPOTELEWA NA VITAMBULISHO VYAKE, VIKIWEMO
1. Passport ya Kusafiria
2. Kitambulisho cha Taifa
3. Leseni ya Udereva
4.Kadi za benki
5.Kadi ya...
Vijana tujifunze kutotumia nguvu na matatusi kuonyesha hisia zetu au kutokubaliana na jambo fulani
Tukitaka kujenga taifa na kulisaidia tujifunze kuwasilisha hoja kwa njia inayomfanya mtu aelewe...
I watched a local football match in a school playing ground. As I sat down, I asked one of the boys what the score was.
With a smile, he replied; "They are leading us 3-0"!
And I said, REALLY...
Sitaki kuwasemea watu vibaya.
Angalia watumishi wa umma wengi walioko TANESCO MAJI UMWAGILIAJI na OFISI ZA MABONDE YA MITO.. wengi wamechanganyikiwa na ni vichaa sana! Yaani wamechoka na mastress...
Habari zenu.
Mimi ni kijana nina Stashahada ya kawaida (ordinary Diploma) Ya Ustawi wa Jamii pamoja na Uzoefu kidogo katika kufanya kazi za jamii nilioupata kabla ya kujiunga na Chuo kwa kufanya...
Hili nimekuja kuligundua baada ya kuwapata wanangu mapacha, hakuna siku nalala chini ya sa6 usiku, hao wezi au vibaka wanapitia wapi nauku mbaba niko macho mpaka mida mibovu
Naandika uzi huu hivi...
Kwa mtoto wa kike miaka 9 hadi 26 msaidie kupata chanjo ya kansa ya kizazi. Huu umri ni muhimu sana akapata chanjo hii maana wengi wanakuwa hawajaingia kwenye mahusiano na hawajaambukizwa
Kama...
Nimepita karibu na kanisa la RC hapa ukonga nikaona yafuatayo;
1.Waumini wamama wananyonyesha si wote baadhi tu.
2.Waumini wengine wako nje wanaume.
3.Waumini wengine niliwaona wamechelewa...
Ulisoma historia ya Africa vizuri utagundua kuwa Shaka Zulu alikuwa mentored na Dingiswayo.Mafanikio na umahiri aa Shaka Zulu katika.medani ya vita ulitokana na mafunzo aliyo yapata kutoka kwa...
Kutoka kwa Kaka Ebby Siwa.
Kuna wakati ili Muziki wetu upanuke zaidi tunahitaji jasiri wa kusimamia lakini si kwa kutoa majibu mepesi kwa sanaa yenye kuhitaji majawabu huru.
Kwa zama hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.