Do not trust anybody concerning with your children, whether, your neighbors, friends, remedial teachers, relatives, or housemaids, make regular follow-up, monitor your child. There are many cases...
Naimani jioni ni njema kwenu wanajukwaa!!!
Kero yangu inatokana na utumbuaji uliofanywa na Dr. Laurian ndumbaro kwa maafisa utumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kwimba.kinachonikera si suala la...
Inna lillah wa ina illah rajiun,
Mhe mbunge wa Gairo kafiwa na binti yake mkubwa jana jioni.
Mazishi yatafanyika mchana huu mara baada ya Swalat dhuhur katika makaburi ya Kisutu.
Poleni sana...
Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi la Shabby Line (T 605 DJR) lililokuwa likielekea Dodoma kutoka Dar es Salaam kugongana na Toyota Coaster (T 428 BGM) eneo la Mbala mkoani Pwani.
Chanzo cha...
Salamu wakuu.
Sasa ni dhahiri Mungu amesimama na wanaoonewa ktk nchi yao. Amewasikia vilio vyao. Anajibu. Mungu ni wa uweza wa juu zaidi.
Kampa jiwe ndimi mbili, kamnyang'anya kumbukumbu.
Jiwe...
Kama Mtanzania na kama raia wengine wa taifa hili ninayo haki kikatiba ya kutoa maoni kuhusu jambo lolote linalohusu jamii yangu kwa maslahi mapana ya taifa. Kwa hivyo basi, napenda kuchukua...
Kenya imewalipa fidia wafugaji waliopoteza ng'ombe baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata na kuwapiga mnada kwa madai kuwa walivuka mpaka na kuingia Tanzania na hivyo kukiuka sheria za mipaka...
watu wa ardhi naombeni msaada ni kweli tunaoishi karibu na msitu wa pugu upande wa ilala tumevamia msitu, nasikia baadhi ya watu wanadai serikali itatuondoa muda wowote, najaribu kuuliza maafsa...
Salamu zenu tigo.
Aiseee tigo muna boa kweli yaani sasa hivi hizi sms zenu zimekuwa offside sasa maana yake kila muda ni bonus hata kama mtu hataki bado mnakandamiza hivyo hivyo atake asitake...
Kwenu enyi wajuzi wa mambo.
Naomba kujuzwa je ni sahihi kwa wanajeshi kuvuta bangi hadharani wakishirikiana na raia?
tangu pazuke kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi hasa maeneo ya pwani humu...
Ni njaaa
Ushambaaa
Ujingaaaa
Kutokufikiriaa
Tamaaa
Au kujiendekeza... inakuaje mwanamke hata vocha unashindwa kujinunulia!?
Nakuita sehem tuonane hata nauli huna!? Jaman nauli ya mwendo kas tu...
Habarini Wakuu!
Kwanza kabisa naomba Mods msiufute uzi huu kwani mmekuwa waonevu sana kila nnapoanzisha uzi mnautokomeza 'kusikojulikana'.
Wakati wa Awamu ya Nne kama mtakumbuka walio wengi...
Huyu Dingi Yao Kama anajua Anapendwa Kwanini Anakataa Kuendeleza katiba Mpya ya Warioba...!! Kwanini CCM na Genge Lao Ukiwaambia kuhusu katiba Mpya wanatukana matusi na kutamani kukuua kabisa...
Kenya wanatumia nguzo za Zege na zinadumu kwa miaka mingi. Hivi ni kwanini Tanzania tunaendekeza kutumia nguzo za miti tu badala ya kuchanganya ili kuhamasisha viwanda vya nguzo za zege pia...
Hii kauli sikumbuki ilitolewa wapi lakini ni huko morogoro na askofu mmoja
Kama sisi sio sauti ya Mungu labda anae mungu wake mwingine anaemsikiliza
Ni kauli nzito sana hii sina uhakika kama...
Sasa imeongezeka maana ya donor country. Mwanzo ilikuwa Tanzania ilitakiwa kuwa a donor country, sasa Tanzania imekuwa a donor country tangu awamu ya kwanza.
Je, ipi ni maana halisi ya a donor...
Kila siku ninapomtizama Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim namwona akiwa na ' Mabadogadi ' wapya tu hali ambayo imenifanya nijiulize maswali mengi yasiyo na majibu hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.