Msaada: Vitambulisho vimepotea

Msaada: Vitambulisho vimepotea

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
SALAAM WANDUGU!

*SARAPHINER ZABLON URIO*

AMEPOTELEWA NA VITAMBULISHO VYAKE, VIKIWEMO

1. Passport ya Kusafiria
2. Kitambulisho cha Taifa
3. Leseni ya Udereva
4.Kadi za benki
5.Kadi ya hospitali
6. Kitambulisho cha kura....
na vitambulisho vingine mbalimbali...

Kwa yeyote atakayeviona tafadhali viwasilishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe au wasiliana kwa namba hizi

0718229588
0766008009

Sambaza ujumbe huu uwafikie wengi.

VITU VIMEPOTEA TAREHE 28/3/2018

MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI
 
Kwa sababu mmezidi kueneza chuki na ukabila hivyo vitu aliyeviokota atavichana na kuvitia moto.
 
SALAAM WANDUGU!

*SARAPHINER ZABLON URIO*

AMEPOTELEWA NA VITAMBULISHO VYAKE, VIKIWEMO

1. Passport ya Kusafiria
2. Kitambulisho cha Taifa
3. Leseni ya Udereva
4.Kadi za benki
5.Kadi ya hospitali
6. Kitambulisho cha kura....
na vitambulisho vingine mbalimbali...

Kwa yeyote atakayeviona tafadhali viwasilishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe au wasiliana kwa namba hizi

0718229588
0766008009

Sambaza ujumbe huu uwafikie wengi.

VITU VIMEPOTEA TAREHE 28/3/2018

MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI
Amen,Amin atafanikiwa mkuu
 
Inakuwaje unatembea na vitambulisho vyote muhimu kwa wakati mmoja?
Wako tayari tayari kuondoka nchi hii hapo nia yao Ovu itakapotimia mkuu! Ndio maana wametumiana manifesto kupeana taarifa ya kutembea na vitambulisho vyote muhimu wakati wote.
 
Alikua anaenda wapi na vitambulisho vyote hivo? Anyway namuombea viokotwe na wasamaria wema wamfikishie haraka iwezekanavyo.
 
Chuki mnayoeneza nyinyi hapa nchini hamuioni? Pathetic swine!
Nenda kampe sasa!
wakna nan??? Mbona hujielewiii??? Huyu me nafahamiana nae???...mpuuz kwel kwel.Fanya yako.Ukinijia hovyoo tena ntakuzngua
 
Nenda zako pimbi wewe! Zingua uone!
Siwez ongea na kizibo kama wewe...nione nini sasa,wabongo bhn[emoji38][emoji38][emoji38]..au nione mwandiko wako ulivyo mbovu.asew yaan bora kupigwa punyeto kuliko kiumbe kama wewe
 
Kwa sababu mmezidi kueneza chuki na ukabila hivyo vitu aliyeviokota atavichana na kuvitia moto.
Watanzania hatujafikia hatua hii, bila shaka vidole/ulimi wako umeteleza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom