Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heri ya Sikukuu ya Kufufuka Bwana wetu Yesu Kristo! Naomba kuuliza kitu. Snake Parks kule Dsm Arusha Bagamoyo na Zanzibar hivi kuna hawa nyoka wakali na hatari Cobra na Koboko? Na huwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama tuna viongozi wa dini wazalendo na wanaojua wajibu wao kwa jamii,inawezekana siku ya kesho mahubiri yao yote yakaongelea jambo moja na si kwa kupanga iwe hivyo,bali kwasababu kila mmoja wao...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa Waarabu Jasiri sana Mtu hadi amewekewa kitanzi Shingoni bado anasema:" Mungu Mkubwa na siogopi yeyote ata mkiniua" Mimi kamba shingoni lazima chozi
3 Reactions
50 Replies
10K Views
Rejea heading, mimi nimejaaliwa mapacha wawili wa kiume na kike, na leo wanatimiza miez mitatu kamili kwa maana kwamba walizaliwa mwaka mpya Baada ya kuwapata nimekuwa nikichunguza mambo...
3 Reactions
43 Replies
33K Views
Wasanii wengi wa kitanzania huwa wanataka kuingiza baadhi ya vipengele vya majeshi yetu yaani JWTZ,Polisi,Magereza,JKT na Zimamoto katika filamu zao lakini huwa wanatafuta aiana ya sare...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Hili nimeliona leo nimenishangaza sana kiasi cha kuona kwamba hela za waumini zinalindwa sana kwa kiu kuu!!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Asili ya Yuda ni Mchaga upande wa Baba na Upande Mama Mhaya.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dr Jakaya Kikwete anazindua taasisi yake muda huu. Miongoni mwa timu ya taasisi hiyo ni Prof Mahalu ambae ni daktari bingwa wa moyo, Mkandara na Ombeni Sefue huku...
16 Reactions
159 Replies
26K Views
Habari za majukumu wakuu wenzangu. Ni historia ndefu ila nitajaribu kuipunguza kidogo. Ilikua mwaka jana maeneo ya ferry Kigamboni baba mdogo alikua ameshauza samaki wake na kumalizia kufunga...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nairudia tena hii yake mwijage, bado natamani kupata insight ya kilichomsibu yeye na 'Mwalimu',. Nakisoma tena. Tujatibu kubadilishana mawazo, wale wanaoshangazwa na 'haya ya awamu ya 5'...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Jina mwanaume/mwanamke alietoka nae kabla yako...ulijiue ili nini? Sababu hilo jina utalichukia daima 2. Ametembea na wanaume/wanawake wangapi? Hawezi kukuambia ukweli never... 3. Usipende...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Basi la Kampuni ya New Force ambalo lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es salaam limepata ajali maeneo ya Iyovi, karibu na Mikumi kwa kugongana na gari ndogo. Kwa taarifa za awali zinasema...
4 Reactions
208 Replies
33K Views
Kama Kristo asinge kufa msalabani ukombozi wa Mwanadamu ungekuwa si kitu lakini kwaajiri ya Ushujaa wa Yuda kutimiza ukombozi wetu kwa kusaliti ili kutimiliza Agano Yuda ndie Shujaa mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Hivi unajua kwamba mpaka sasa japo kuwa maendeleo ya kisayansi na teknolojia kuwa ya kiwango cha juu bado sayansi haijaweza kuthibitisha kwa hakika kuna sayari ngani kwenye mzunguko wetu wa Solar...
9 Reactions
58 Replies
9K Views
Ili jambo dogo sana mbona Kuna kitu kinaitwa MOU ipo hadi mishahara ya bure inaliwa haya hamyaoni? Jamani this is our country aise....zile kumbi unaweza kufuata taratibu na ukafanya...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Zimepita wiki mbili toka nilete uzi kuhusiana na kesi ya kusingiziwa wizi na mshitaki wangu kulazimisha nimlipe hata nusu ya gharama ili kesi iishie polisi. Kutokana na kuwa na ndugu huko polisi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya Apple imependekeza emoji emoji ambazo zitawakilisha watu wenye ulemavu Katika mapendekezo yao waliyoyatuma Unicode Consortium ambayo inasimamia viwango vya emoji, Apple wamependekeza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akhsante tumeuanza mwezi huu wa Nne ( April ) ambao tunaweza kuona yafuatayo: Aina mpya za Silaha Ulengaji mzuri wa Shabaha Waliochoka Wenye roho mbaya na ukatili Waoga ila wanung'unikaji wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wavivu sana na kupenda kufanyiwa kazi tofauti na miaka ya nyuma na kulalamika tu maisha magumu wakati kila kitu kipo ila hawataki kufanya kazi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
wataalamu naomba mnisaidie je ni watu wenye hadhi gani na mamlaka yapi ya kuitisha Press Conference ikakubalika bila kuwa na vikwazo vya polisi , Je raia wa kawaida anayo hayo mamlaka ya...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Back
Top Bottom