Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa watoto walivuma sana miaka ya 1990's hadi 2000. Wanaimba sana nyimbo za dini kwa sauti zao bila kutumia msaada wa kompyuta. Salva me -Huu ni moja wa wimbo wao CC: zitto junior , Palantir ...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa!! Nimejaribu kufikiria, kutathmini na kudadavua kwenye halmashauri ya kichwa changu kuhusu Mambo yanayotufanya sisi WATANZANIA tutembee vifua mbele ulimwenguni . Kiukweli kwenye kila...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia, 1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake? 2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini. Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuzo za jana zilisikitisha sana,yaani bongo movie hakuna kitu, napenda kuanzisha thread hii kwa lengo la kuwasaidia waigizaji wetu wa kitanzania, na industry yao ya Bongo movie, Mdau sema...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wananachi 87 wamelazwa Katika Hospitali ya Enduleni kata ya Enduleni wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha baada ya kula nyama ya Ng'ombe ambayo ina Sumu. Mwakilishi Mwanahabari Huru ngorongoro
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu washikadau, Tanzania ina mikoa mingi yenye hali ya hewa ya ubaridi mfano Mbeya,Arusha,Iringa n.k lakini mpaka leo sijajua ni mkoa upi una baridi kali kuliko yote Tanzania.Mwenye...
1 Reactions
187 Replies
56K Views
Shirika hili mnamuhujumu rais wetu na juhudi zake kwani haiwezekani mkate umeme tangia jana mpaka sasa tena bila taarifa wakati mnajua kabisa rais yuko live leo akifungua mradi wa radar na kupokea...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Nimesoma hyo article nimeielewa sana “WANAUME WA KISASA WANA UMAMA KIDOGO”....
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa tumefikia pazuri ktk ile issue ya mkataa pema pabaya panamuita, Hivi sasa maaskofu wanaongoza jahazi la mkataa pema. Mimi yangu macho endeleeni kukataa pema.
2 Reactions
3 Replies
972 Views
Misa hiyo itaongozwa na Askofu mpya wa Anglican dayosisi ya Dsm Sosthenes Jackson na ndiye atakayehubiri. Nyote mnakaribishwa tuweze kuliombea taifa pamoja na viongozi wetu. Misa hii inajumuisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Awali yalipoletwa makufuli hakuna aliyedhani ndani ya nyumba kulikuwa na ulevi tena chupa kubwa ilionekana waziwazi ikiwa na neno pombe. Yamkini kumeremeta na upya wa yale makufuli uliwasahaulisha...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama...
20 Reactions
146 Replies
14K Views
Wakuu habari za Pasaka. Nina wazo fikirishi. Imekuwa kawaida kwa jamii yetu ya sasa kila mtu anatamani kumiliki gari na nyumba. Wanaofanya kazi are working tirelessly aiming nyumba na gari? Walio...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Kwa Mfano Mara pap ....Umetangazwa na Jpm kuwa umeteuliwa kuwa ...Mkuu wa mkoa Flani...unaweza kukataa...Kweli ....Mimi hapa Tz Mbowe naona Ndo mpinzani wakweli tu. Hawa vijana ...kama akina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar za leo wanajamvi, Neno 'FEDHA/PESA' si neno geni kwenye masikio ya wanadamu wakubwa kwa watoto,na neno hili lilianza kutumika mnamo karne ya 15 kwa Bara la Africa na hii ilitokana na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wandugu naamini humu ndani kuna wajuzi wa kila aina. Nimekuwa impressed sana na maswala ya 3d animation baada ya kufowadiwa kazi moja iliyofanywa na watanzania au kampuni ya watanzania..ningependa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ningeshauri kuwa na ulazima kwa waendesha bodaboda kukatiwa bima za afya kwa ulazima. Hili ni kundi la jamii linalokumbana na madhara ya ajali mara kwa mara na linateseka sana katika kupata...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili tatizo la umeme jana, siku ya Pasaka, je lilikuwa ni karibu nchi nzima? Kama ni karibia nchi nzima, je sababu kubwa hasa ni nini? #tanesco
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Back
Top Bottom