TUTUO JF-Expert Member Dec 3, 2013 3,251 2,027 Feb 10, 2017 #1 Wadau mnaionaje hii ngoma ya Farid ?yani nilikuwa naisikiliza nimei rewind mara tisa aise big up Bella
Wadau mnaionaje hii ngoma ya Farid ?yani nilikuwa naisikiliza nimei rewind mara tisa aise big up Bella
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Nov 25, 2010 6,136 17,871 Feb 10, 2017 #2 Iko wapi Mkuu? Isalimie Mzee Tupatupa
TUTUO JF-Expert Member Dec 3, 2013 3,251 2,027 Feb 10, 2017 Thread starter #3 VUTA-NKUVUTE said: Iko wapi Mkuu? Isalimie Mzee Tupatupa Click to expand... Nimesema wadau ,wewe wahi police ukampokee kada mwenzio Ckukuu ya kiislam Azani
VUTA-NKUVUTE said: Iko wapi Mkuu? Isalimie Mzee Tupatupa Click to expand... Nimesema wadau ,wewe wahi police ukampokee kada mwenzio Ckukuu ya kiislam Azani
Rubajirwa JF-Expert Member Apr 15, 2017 472 228 Apr 1, 2018 #4 TUTUO said: Wadau mnaionaje hii ngoma ya Farid ?yani nilikuwa naisikiliza nimei rewind mara tisa aise big up Bella Click to expand... Haha mbona Fid ndio kaumiza sana
TUTUO said: Wadau mnaionaje hii ngoma ya Farid ?yani nilikuwa naisikiliza nimei rewind mara tisa aise big up Bella Click to expand... Haha mbona Fid ndio kaumiza sana