Sometimes kina mama tuna roho ngumu sana jamani,
Leo majira ya sita sita ivi mchana kimfuko cha plastic kilidondoka ktoka ghorofa ya juu,
LA haula kutua chin tunaona damu na kimfuko kikapasuka...
Nichukue fursa hii kuwatakia watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai.
Mnamo miaka zaidi ya 2000 iliyopita nyakati Kama hizi...
Habari waungwana!. Mi ni mwenyeji wa mbeya yaan kwa sasa naishi mbeya mjini hapa.
Nimetokea kupenda kuishi Mtwara au Lindi kwa miaka mingi sana,nataman kuishi katika moja ya vijiji vilivyopo...
Kuna mambo mengi sana yananikwaza sana maishani mpaka nakosa amani na furaha ya moyo. Hakika ni mengi lakini hili ni zaidi
I hate / nachukia umasikini jamani
UMASIKINI. UMASKINI...
Hawa jamaa ni wezi sana wamenilia pesa zangu nyingi sana ,kama nikishinda basi ni buku moja tu basi .
Mpaka sasa nimeshaliwa zaidi ya elfu hamsini na niliwahi kushinda buku mara moja tu basi...
01 Aprili, 2018
Waraka Kutoka Iringa
Kwanza nawatakia heri ya Pasaka Ndugu zangu Watanzania wote.
Nimeamua kuandika waraka huu, baada ya kusoma andiko la Tundu Lissu kuhusu mgogoro kati ya...
Nichukue fursa hii kutoa salaam za Pole kwa Makamu Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Mama Leticia Ghati Mosore kwa kufiwa Leo usiku na Mumewe katika hospital ya MUHAS Mloganzila Jijini Dar es salaam...
Tangu asubuhi Leo hatuna power hadi Saa hii.wiki tatu zote hizi tangu kuanze Mvua Umeme ni wa kubahatisha mno mchana...
Saa hii tukio gizani,kibaya kwenu huwa hamsemi tatizo Na hamsemi muda wa...
Melbourne Florida
Tarehe 25, mwezi wa 8 mwaka 2003, saa 6 na nusu mchana, Kachero mpelelezi wa kituo cha polisi cha Kitongoji cha Brevard anayejulikana kama Carlos Reyes, alikuwa akiendesha gari...
habari wadau.
leo ndio siku ya mwisho ya mwezi wa tatu mwaka 2018..
muswada mpya wa sheria ya mafao uliopitishwa umesema.. kuanzia april moja 2018... sheria ya muswada mpya iliyopitishwa ndio...
Ubaguzi katika kutoa ajira za wahudumu wa baa umeshamiri sana katika sehemu nyingi za starehe. Imekuwa nadra sana kumkuta baamed asiye na chura kubwa.
Baa nyingi zimejaa wahudumu waliofungaisha...
Nakumbuka sakata la wakati ule mchezaji bora number one wa Gofu duniani Tiger Wood alipokumbwa na kashfa ya kutembea nje ya ndoa na vimwana kibao wakaanza kujitokeza na kutoa taarifa kuwa 'hata...
Kardinali Pengo kuhoji wenzie wamejuaje masuala ya serikali kugandamiza uhuru wa watu kunazua swali juu ya namna ya kufahamu mambo, yaani, 'knowledge'. Hivi ni watu gani hao waliomfuata na...
Just stay calm! Extraordinary moment a cheetah jumps INSIDE safari jeep in Tanzania as terrified tourist tries to stay calm
Britton Hayes was on a safari tour when a cheetah climbed into the jeep...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.