Kwelii mkuuJf ni anga kila mdau anatakiwa alitazame usiku na mchana,kiangazi na masika,jua au mvua
JF ndio maktaba yangu ya habari za kale
Na mwalimu wangu wa mambo ya jadi ni kaka Mshana.
Mshana Salute sana na pokea salamu zangu za pasaka
HERI YA PASAKA KWA WANA JF WOTE