Big up dada wa mapokezi - Aga Khan Polyclinic (Posta)

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,021
Kwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi.

Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye umbo lililoumbika vyema.

Analugha nzuri kwa wagonjwa,kuonyesha kujali na huruma,kutulia hata pale mgonjwa anapomtolea lugha chafu,kuonyesha nia ya dhati kutatua tatizo hata pale mgonjwa anapokwama kihuduma,

Kwakweli ni tofauti sana na wahudumu wengi wa kada ya afya,ni mfano wa kuigwa kwa kweli.

Naamini ma boss zako wanapita humu,waangalie namna ya kukupromote for betterment of your carrier.
Nawasilisha.
 
sawa...
 
Kuna mmoja dar group tazara ni dk huyu na jina nilichukua kabisa Joyce anakuhudumia unaweza kupona kabla hajamaliza kukuhudumia ni very friendly dah nilitaka angalau nikae pale kwa mda tupige hadithi maana ye ukiwa ndani hadi na vikazi vidogo vidogo anakutuma
 
nahisi ni wewe mwenyewe, unajipigia promo
 
Kuna mmoja dar group tazara ni dk huyu na jina nilichukua kabisa Joyce anakuhudumia unaweza kupona kabla hajamaliza kukuhudumia ni very friendly dah nilitaka angalau nikae pale kwa mda tupige hadithi maana ye ukiwa ndani hadi na vikazi vidogo vidogo anakutuma
Umenikumbusha mbali nlipojifungua alinihudumia vizuri wakat WA kliniki nilikuwa naattend kwake jaman akawa rafki Yangu Sana niliharibika sura alikuwa ananitia moyo alikuwa Mshauri jaman kwakweli ni zaidi ya Dk mnacheka mpk hutamani kutoka
 
Hongera Mkuu kwa kuliona hilo. Mara nyingi sehemu kama hizo ni malalamiko ya hali ya juu kutokana na lugha chafu na dharau kutoka kwa wahusika. Ungewaambia management hapo ili wampe sifa zake muajiriwa wao.
 
Kuna mmoja dar group tazara ni dk huyu na jina nilichukua kabisa Joyce anakuhudumia unaweza kupona kabla hajamaliza kukuhudumia ni very friendly dah nilitaka angalau nikae pale kwa mda tupige hadithi maana ye ukiwa ndani hadi na vikazi vidogo vidogo anakutuma
Safi mkuu,kuna umuhimu wa hawa wahudumu wa afya kuwa friendly kwa wagonjwa mkuu,inasaidia hata kwa mgonjwa kupata ahueni mapema.
 
Umenikumbusha mbali nlipojifungua alinihudumia vizuri wakat WA kliniki nilikuwa naattend kwake jaman akawa rafki Yangu Sana niliharibika sura alikuwa ananitia moyo alikuwa Mshauri jaman kwakweli ni zaidi ya Dk mnacheka mpk hutamani kutoka
Kweli mkuu,inabidi tuwape compliments zao mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom