IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Nimepita karibu na kanisa la RC hapa ukonga nikaona yafuatayo;
1.Waumini wamama wananyonyesha si wote baadhi tu.
2.Waumini wengine wako nje wanaume.
3.Waumini wengine niliwaona wamechelewa. walikaa nje kwa mda then wakaingia ndani.
4.Waumini watoto wanacheza nje
5.Waumini wamama wanabembeleza watoto nje..
6.Muumini mmoja kavaa mkanda alitoka nje kuzuia watoto wapiga kelele.
Naomba ufafanuzi wa haya yafuatayo
1.Hayo makundi yote ibada zao zimekamilika kwa mazingira hayo?
2.Kama bado wanalipa vipi?
Nawatakia Pasaka njema.