Msaada kwa aliyeko Afrika Kusini Braamfontein Johannesburg

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,604
Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport....

Amejishikiza kwa mbongo nae maseke vilevile...alienda kufanya kazi kupiga stika kama alivyopewa mchongo na mwenyeji ambae now kamkimbia mawasiliano kakata....anaishi akiwa na form ya polis ya kupotelewa vitu hivyo....tumemtumia hela ya kula had katufilis tunafikiria kuuza vitu....kwa sasa hata nauli yakurudia hana ila pia anataka kukomaa mambo yakae sawa....

Ana ujuzi wa kazi so ni suala la kuweka mambo sawa...yupo mtaa wa 93 juta braamfontein johannesburg....kikubwa mpaka nafungua uzi huu ni hofu tunayopata juu ya hali yake ambayo yeye anasema atakomaa kufanikisha anafanya sanaa yake tatizo ni kuwa kwa sasa anaumwa na hajala baada ya vijiela tulivyo mpa kumwishia...kama ww ni mbongo upo mazingira hayo tafadhali jaribu kuwasiliana na huyu mtu walau upe ushauri kama sio msaada mwingine....

No ya alomstir kwa sasa ni +27 843161230 mdogo anaitwa emmanuel dar wanamjua kama mzee wa logo....naamini sitajutia juu ya uzi huu sio mm ni mdogo wangu...mimi napambana kutia vyuma griss.
Mimi 0713055107 zote ziko whatsap

IMG-20180401-WA0007.jpg
IMG-20180401-WA0011.jpg
 
Samahani kwa kuuliza, kwahiyo mmemtumia hela mpaka kiasi cha kukufilisini ndani ya siku tatu tu? Maana hiyo police report ni ya tarehe 29-3-18, ambayo ni siku tatu tu zilizopita.
Anyways kwa hapo alipo hatokosa msaada maana ni kama Tanzania ndogo tu jinsi kulivyojaa wabongo. Awe makini na madawa ya kulevya maana ndio shughuli kubwa ya wabongo huko, kuuza na kutumia.
 
Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport....

Amejishikiza kwa mbongo nae maseke vilevile...alienda kufanya kazi kupiga stika kama alivyopewa mchongo na mwenyeji ambae now kamkimbia mawasiliano kakata....anaishi akiwa na form ya polis ya kupotelewa vitu hivyo....tumemtumia hela ya kula had katufilis tunafikiria kuuza vitu....kwa sasa hata nauli yakurudia hana ila pia anataka kukomaa mambo yakae sawa....

Ana ujuzi wa kazi so ni suala la kuweka mambo sawa...yupo mtaa wa 93 juta braamfontein johannesburg....kikubwa mpaka nafungua uzi huu ni hofu tunayopata juu ya hali yake ambayo yeye anasema atakomaa kufanikisha anafanya sanaa yake tatizo ni kuwa kwa sasa anaumwa na hajala baada ya vijiela tulivyo mpa kumwishia...kama ww ni mbongo upo mazingira hayo tafadhali jaribu kuwasiliana na huyu mtu walau upe ushauri kama sio msaada mwingine....

No ya alomstir kwa sasa ni +27 843161230 mdogo anaitwa emmanuel dar wanamjua kama mzee wa logo....naamini sitajutia juu ya uzi huu sio mm ni mdogo wangu...mimi napambana kutia vyuma griss.
Mimi 0713055107 zote ziko whatsap

View attachment 731369View attachment 731370
Watakuja mkuu kwa msaada
 
Mbona umeanza mapema sana kumuombea msaada? Ngoja kwanza kijana apambane, na kama alijiaminisha kua akitua tu south michongo yake inakaa poa shauri yake
 
Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport....

Amejishikiza kwa mbongo nae maseke vilevile...alienda kufanya kazi kupiga stika kama alivyopewa mchongo na mwenyeji ambae now kamkimbia mawasiliano kakata....anaishi akiwa na form ya polis ya kupotelewa vitu hivyo....tumemtumia hela ya kula had katufilis tunafikiria kuuza vitu....kwa sasa hata nauli yakurudia hana ila pia anataka kukomaa mambo yakae sawa....

Ana ujuzi wa kazi so ni suala la kuweka mambo sawa...yupo mtaa wa 93 juta braamfontein johannesburg....kikubwa mpaka nafungua uzi huu ni hofu tunayopata juu ya hali yake ambayo yeye anasema atakomaa kufanikisha anafanya sanaa yake tatizo ni kuwa kwa sasa anaumwa na hajala baada ya vijiela tulivyo mpa kumwishia...kama ww ni mbongo upo mazingira hayo tafadhali jaribu kuwasiliana na huyu mtu walau upe ushauri kama sio msaada mwingine....

No ya alomstir kwa sasa ni +27 843161230 mdogo anaitwa emmanuel dar wanamjua kama mzee wa logo....naamini sitajutia juu ya uzi huu sio mm ni mdogo wangu...mimi napambana kutia vyuma griss.
Mimi 0713055107 zote ziko whatsap

View attachment 731369View attachment 731370

Hakuna sehemu inayoitwa bramfontein huku

Pili mtumieni nauli ya basi apitie njia ya beite bridge Zimbabwe

Kuhusu passport aende ubalozi wa Tanzania huku sauzi nimesahau coordinates za ubalozi

Nb nauli ya basi kutoka jozi to Lusaka ni rand 800 mpk 850 apande mabasi yanapaki house number 9 nuget kwa wazambia

Ni msaada rahisi

Hakuna msaada zaidi ya huo huku dizonga otherwise asubiri mawili either awe mwizi au mla unga kwa dizonga yote yanawezekana
 
Dizonga,hivi dizonga kuna askari polisi wazungu?
 
Hakuna sehemu inayoitwa bramfontein huku

Pili mtumieni nauli ya basi apitie njia ya beite bridge Zimbabwe

Kuhusu passport aende ubalozi wa Tanzania huku sauzi nimesahau coordinates za ubalozi

Nb nauli ya basi kutoka jozi to Lusaka ni rand 800 mpk 850 apande mabasi yanapaki house number 9 nuget kwa wazambia

Ni msaada rahisi

Hakuna msaada zaidi ya huo huku dizonga otherwise asubiri mawili either awe mwizi au mla unga kwa dizonga yote yanawezekana

Bloemfontein IPO bhana,
 
Braamfontein ipo na inafahmika
 
Back
Top Bottom