Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Habarini Wadau, Jamani naombeni msaada wenu katika hili; Mimi ni mhitimu ya shahada ya Marketing lakini ninaona kuna opportunity kubwa sana uko mbeleni kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha. Kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Prof Huntington katka thesis yake Military & soldiers state(1945) kazungumzia military and civil authority relation(mahusiano kati ya jeshi na raia) akihainisha baadhi ya mambo militia wata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Umeshawahi kuyasikia madini haya?!mimi ndo nimeyasikia leo, yanapatikana Mirerani pia!Yanatumika kutengenezea mabetri ya magari yasiyotumia nishati ya mafuta!!Dah! Hili li nchi lina kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Dhahiri Polepole hawezi kazi ya uenezi, imemshinda, na hasa baada ya watu kumhoji imekuaje anawasaliti watu kwa kulamba matapishi yake. Akiwa bunge la Katiba aliishambulia ccm ambayo leo ndio...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna bango la ratiba za ndege uwanja wa JNIA kwa muda sasa halifanyi kazi. Ni kweli mamlaka inashindwa kutengeneza ili abiria ajue muda wa ndege kuingia, kutoka na mabadiliko ya ndege kama yapo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo nimekua hapo ofisini kwenu enyi Smile Tanzania ki ukweli mko vizuri sanaaa. Kwanza kwa taarifa yako tu msomaja Smile Communication ndio kampuni ya kwanza East Africa ku launch voice service ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoongoza Afrika kwa kupata watalii wengi wanaotembelea maeneo ya maliasili hasa mbuga za wanyama. Hata hivyo, licha ya kuwa na vivutio bora vya asili vya wanyama...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Nomba kuwauliza wenye uzoefu,hii engine ina recurring problems zipi??
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Idara ya uhamiaji mkoa wa Kagera imemkamata Michel Nzorijana raia wa Burundi aliyeingia nchini na kuishi kinyume cha sheria toka mwaka 2013 Raia huyo wa Burundi amekutwa na kitambulisho cha mpiga...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Kuna kitu kinanikera sana wa TZ wenzangu.Unafungua Youtube au pengine unabonyeza ki icon flani usome habari kwenye gazeti flani mfano Muungwana Blog uliyovutiwa nayo.Ghafla katikati au muda mfupi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Jerry Muro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Meru na Arusha. MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Jerry Muro jana tarehe 01 Agosti, 2018 alifanya ziara...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Dodoma. Siku moja baada ya Rais John Magufuli kulisifu Jiji la Dodoma kwamba limefanya vizuri katika makusanyo, Mkurugenzi wake Godwin Kunambi ameanika hadharani vyanzo vya mapato yake na kuwa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Jamani ukichelewa kuliopa traffic notification unafanyaje? Unaweza lipa hata baada ya siku saba
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajukwaa. Muda mrefu sana nimekua na ndoto za kuwa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) punde nitakapomaliza elimu yangu ya juu. Hivyo siku zote nimekua nikiamini siku...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
SALAMU ZENU WAKUU. Leo nimepatwa na hasira sana kwa hii huduma mbovu inayotolewa na shirika letu la reli Tanzania (TRL) kwenda mikoa ya Bara. Nilikata tiketi ya kwenda Kigoma kwa daraja la pili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa amewapongeza Tanroads Mkoani Manyara kwa namna wanavyotekeleza wajibu wao kwa kutekeleza ipasavyo miradi ya barabara. Kwandikwa alisema mara nyingi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amesema atafungua Group la mtandao wa kijamii wa Whatsap maalum kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanafunzi wa shule ya wasichana ya St.Theresia mkoani Rukwa-Sumbawanga wanusurika kifo baada ya moja ya jengo katika shule hiyo kuungua moto.Haabari zaidi zinafuata ===== MABWENI mawili ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Lengo la sheria za mitandao kwenye eneo la 'Privacy/Usiri' ni kulinda utu, heshima na taswira ya mtu mbele ya jamii. Kuna madhara makubwa ikiwa mtu atadhalilishwa kupitia mitandao ya kijamii...
16 Reactions
70 Replies
18K Views
Back
Top Bottom