SERIKALI imetenga Sh bilioni 30 za ujenzi wa miundombinu bora ya utoaji wa huduma katika hospitali za rufaa kwa mwaka huu wa fedha.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia kijana mmoja mkazi wa kata ya pasiansi wilayani ilemela Prosper lema , mfanyabiashara za vileo katika soko la Pasiansi kwa kutuhuma za kutuma ujumbe wa...
Leo nikiwa mjini katika pitapita zangu, si nikachomeka ATM card yangu kuprove kama mshahara upo. Akaunt ikasoma unono, nipo nakata mwendokasi kidogo.
Ni jambo jema lakini je , December 25...
Nilitegemea ndege zetu zirushwe na marubani Watanzania lakini sielewi ni kwanini tutegee wageni wakati na sisi tunao Marubani wengi tu ambao wangeweza kufanya hii kazi muhimu kabisa.
Je, ni kweli...
Zamani enzi za utoto nilizoea sana kusikia habari mbalimbali yanayohusu mambo ya wachawi ila habari hizo nilizoea sana kuzisikia kwa watu hasa wa nje ya familia kwa maana nilikulia kwa familia ya...
Wasalaam
Kwa watumiaji na wapenzi wa bia hakika tarehe 1 Agust ni siku tuliokua tunaisubiri kwa hamu kubwa maana matumizi yetu juu ya bidhaa hii pendwa yalikua yanatuumiza sana.
Kama kawaida...
Aliyekua mkurugenzi wa Abood media bwana Julius nyaisanga,amefariki dunia huko Morogoro katika hospitali ya Mazimbu aliipo chuo kikuu cha sokoine cumpus ya mazimbu.
More to come
=========...
Nataka niionje hii ndege yetu fahari ya Tanzania, The Wings of Kilimnjaro. Nipigapo kasafari hata ka KIA mpaka Dar es Salaam aisee!
Mliopanda hii ndege vipi stability yake angani ? Vipi uwezo wa...
Hofu na mashaka ndio adui namba moja anayefilisi nguvu au nishati ya mwili wa mwanadamu kwa haraka kuliko kitu kingine chochote kile. Wengi wameathiriwa katika maisha yao ya kielimu, kiafya...
Kabla ya safari yangu ya hapa Ukraine nilikatishwa sana Tamaa na kuonekana sitatoka kimaisha lakin ukweli nimegundua wengi waliokuwa wananikatisha tamaa hawajawahi vuka kufika hata Kenya Nairobi...
Vijiji vya wilaya hizo tajwa hali ya nyumba ni nzr ,maji,hali ya hewa ni uhakika.lami wanajitahidi mfano kwa bukoba vijijini lami ya inaelekea vijiji vya izimbya.kashozi,bugabo.kwa muleba lami ipo...
Watu 13 wamefanyiwa upasuaji wa macho kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo jicho la Mtoto na vikope.
Saraweki Mberwa mmoja wa Madaktari katika Hospitali ya Anglikan Diosis ya Kiteto ADK...
Wakati wa Mbowe kustaafu bado, tunawaonya ccm kuacha kutuchagulia m/kiti ,wao wajikite kurekebisha Katiba yao ili kuruhusu wanachama kugombea nafasi ya m/kiti wa chama chao badala ya m/kiti...
Habari za leo wana Jukwaa wenzangu naomba kwa yyote mwenyewe mawasiliano na mzee wetu J mbwambo muandishi nguli hapa nchini pamoja na kwamba mwaka juzi alitangaza kustafuu rasmi lkn kwa...
A Filipina schoolgirl has lived all her life with a parasitic twin growing out of her chest and abdomen, but will soon undergo surgery to have it removed.
Veronica Cominguez, 14, was supposed to...
Habari zenu. Napenda kufahamu hawa Bumaco wako active kiasi gani kwenye kulipa claims za Bima za magari. Na za moto?
Kuna kipindi nilikuwa na broker mmoja wa bima aliyewahi kufadhili timu ya...
Habari ndugu na jamaa wa JF,
Naomba Masada jinsi ya kutoa mzigo airport (Mzigo wa biashara) hapa Tanzania.
Nahitaji Msaada hasahasa kwenye issue Kama vile :
1. Mapato yake yakoje? Mfano. TRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.