Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

If any one lie with a man as with a woman, both have committed an abomination, let them be put to death: their blood be upon them.—Leviticus 20:13[11] Maneno hayo hapo juu yamenukuliwa kutoka...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Waliokuwa viongozi wakuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KNCU),wamewasilisha maombi ya dhamana makahama kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi. Viongozi hao,Aloyce Kittau(alikuwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Sasa unatoka 'outing' kwa furaha nyumbani kwako unaenda sehemu ya starehe,umevaa hovyo hovyo,robo au nusu utupu,unajipiga picha,wenyewe wakiita sefie au ekotite,unaiangalia,unaikagua unaona...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri anatarajia kuzindua rasmi kampeni ya kimkoa ya upimaji virusi vya Ukimwi VVU inayojulikana kwa jina la ‘Furaha Yangu’ yenye lengo la kuhamasisha huduma za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SEKTA ya kilimo ni mhimili wa uchumi wa Taifa na inategemewa katika kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025, kupitia viwanda kwa sababu kilimo ndicho kitawezesha viwanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuhamisha Stand ya Kawe bila Maboresho ni aibu kwa Manispaa ya Kinondoni. Nahisi hizi ni siasa chafu. Kawe ipo Upinzani hawataki iwe na maendeleo Nmeshangaa kukuta kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam. Hapa naomba kuwasiliana na wenzangu walliokuwa PSPF wanijuze kana pensheni imetoka na kama kila kitu kiko sawa. Nashindwa kupata taarifa hizo kutokana na sehemu nilipo hivi sasa. Asante...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BAADA ya kuapishwa rasmi wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu, wameahidi kila mmoja, kutekeleza ipasavyo majukumu yanayowakabili katika maeneo yao, ikiwemo kukabiliana na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu baada ya kuchoka mitandao mingine kwa uchoyo wa vifurushi naomba nihamie ttcl ila sijajua kwa arusha internet yake inakamataje Wapo vizuri??? VIPI KWA MAENEO KAMA MJINI NA MERU?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkazi wa Mnadani jijini Dodoma ameilalamikia polisi kwa kumuweka mahabusu mkewe mwenye mtoto mchanga kwa madai kuwa hakufanya usafi. Lakini polisi imesema ilimkamata mwanamke huyo kwa tuhuma za...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi huyu waziri katika utendaji kazi anajua Magufuli anafuatilia??? huyu waziri analeta mambo ya mizaha,Msigwa aliposema huyu ni mtu anapenda mizaha na utani hakukosea,tumejionea wenyewe vituko...
7 Reactions
23 Replies
6K Views
Toka mchana nimekua nikicheka tukio ambalo sikuwahi kulisikia tangu nimeanza kutumia usafiri huu wa anga japo route ya dar to nbi tumekuwa tukipita eneo hilo la mlima kilimanjaro ila haijawahi...
14 Reactions
118 Replies
17K Views
Habari kutoka hospitalini Bugando zinaeleza kuwa Pacha walioungana tumboni na kifuani waliozaliwa Julai 25 mwaka huu, wamefariki dunia. Pacha hao waliozaliwa katika hospitali ya Sekou Toure...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mama Mwantumu Bakari Mahiza,ameteuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi Julius Kambarage Nyerere,uteuzi huu umeanza ramsi July 01,2018. Mahiza anachukua...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Facebook na Instagram zinazindua programu mpya itakayodhibiti muda unotumiwa na wateja wao katika programu hizo. Programu hiyo itapatikana katika ukurasa wa mipango ama settings katika programu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Walmart pato lake 2017 ni $486bil Belgium gdp ni $468 bil kama ni nchi Walmart ingekuwa ya 24 duniani kwa gdp kubwa Volkswagen pato ni $276 bil ,chile gdp $250bil ,kama ni nchi vokswagen ingekuwa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
MENEJA Mradi wa usambazaji wa gesi majumbani Dar es Saaalam, Denice Byarushengo, amesema kazi ya kusambaza mabomba ya gesi asilia kwa wananchi imekamilika kwa asilimia 76.8. Byarushengo alisema...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili Judith Amoni Mwansansu (39) Mkazi wa Mwanjelwa na Aive Alex Swalo (17) Mkazi wa Mwanjelwa Mtaa wa Soko kwa kosa la kumfanyia vitendo vya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) limejizatiti kuanza safari katika ukanda wa Afrika Mashariki katikati ya Agosti, mwaka huu na tayari imeshapata mawakala wa kuuza tiketi zake, ikianza na safari za...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Salaam wakuu. Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom