Hii inanikera sana jamani

Hii inanikera sana jamani

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,869
Reaction score
5,169
Kuna kitu kinanikera sana wa TZ wenzangu.Unafungua Youtube au pengine unabonyeza ki icon flani usome habari kwenye gazeti flani mfano Muungwana Blog uliyovutiwa nayo.Ghafla katikati au muda mfupi kanatokea ki Icon kanatangaza kitu flani aidha iwe ni biashara au taarifa flani kitu ambacho kinakukatiza starehe yako unaposoma sababu kinaingia muda usiotaka.Hivi hawa wanaotuma hivo vitu hawawezi kuchagua ukurasa wao maalum wakaweka matangazo yao?.Inakera sana hii jamani.Zamani ilikuwa kwenye simu ukipigiwa simu ghafla inaingilia maongezi ya kitu usichotaka kupotezeana muda hili siku hizi halipo tunashukuru.
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaa Vitalis Msungwite leo nimefungua gazeti la Mwananchi kwenye computer nisome ile sijakaa sawa nisome gazeti langu tukufu nilipendalo ghafla ikatokea window ya tangazo la Halotel likaniziba nisione ninaposoma hii kero itaisha lini sio halotel tu na matangazo mengine.Siku moja nilifungua kitu flani kakatokeza katangazo kengine katika hamaki zangu nikabonyeza sehemu kujaribu kukaondoa na habari yenyewe muhimu ikafutika hizi kero sana
 
Back
Top Bottom