Gambling Studies

mwinyi

Senior Member
Apr 11, 2008
149
155
Habarini Wadau,
Jamani naombeni msaada wenu katika hili;
Mimi ni mhitimu ya shahada ya Marketing lakini ninaona kuna opportunity kubwa sana uko mbeleni kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha.
Kwa sasa sekta hii inachangia pato la taifa kwa kulipa kodi ya kiasi cha bilioni 1.4 kwa mwezi,ni sekta inayokuwa kwa kasi kubwa na kuajiri watu wengi sana. Sasa ktika uchunguzi wangu nilioufanya nimeshindwa kupata chuo kinachotoa masomo haya kama taaluma rasmi. Naombeni mnisaidie kushare majina ya vyuo vinavyofundisha/kutoa degree,masters katika maswala ya michezo ya kubahatisha.

Nawashauri vijana wanosoma sasa waangalie taaluma ipi itakuwa na manufaa kwao,kuliko kufuata taaluma zisizokuwa na mantiki katika karne hii.

Nawasilisha,wako mjezi mwezako wa twaifa hili.
 
Mimi niko fiti kalkiti. Nilitumia kama mwaka kujifundisha haya madude. Nilipoanza kushusha mikeka, kuna mbetishaji akanifungia nikawa nashindwa kuweka mikeka nikaacha. Alijaribu kunidhibiti kwa namna zoote nikawa namchomoka. Ningeendelea na spidi ile, kwa sasa ningekuwa nimeshajenga ghorofa.
 
Soma kwanza Forex,harafu tumia knowledge ya forex kwenye sports betting.
Lazima utoboe
 
Mimi niko fiti kalkiti. Nilitumia kama mwaka kujifundisha haya madude. Nilipoanza kushusha mikeka, kuna mbetishaji akanifungia nikawa nashindwa kuweka mikeka nikaacha. Alijaribu kunidhibiti kwa namna zoote nikawa namchomoka. Ningeendelea na spidi ile, kwa sasa ningekuwa nimeshajenga ghorofa.
Leta tips sasa
 
Habarini Wadau,
Jamani naombeni msaada wenu katika hili;
Mimi ni mhitimu ya shahada ya Marketing lakini ninaona kuna opportunity kubwa sana uko mbeleni kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha.
Kwa sasa sekta hii inachangia pato la taifa kwa kulipa kodi ya kiasi cha bilioni 1.4 kwa mwezi,ni sekta inayokuwa kwa kasi kubwa na kuajiri watu wengi sana. Sasa ktika uchunguzi wangu nilioufanya nimeshindwa kupata chuo kinachotoa masomo haya kama taaluma rasmi. Naombeni mnisaidie kushare majina ya vyuo vinavyofundisha/kutoa degree,masters katika maswala ya michezo ya kubahatisha.

Nawashauri vijana wanosoma sasa waangalie taaluma ipi itakuwa na manufaa kwao,kuliko kufuata taaluma zisizokuwa na mantiki katika karne hii.

Nawasilisha,wako mjezi mwezako wa twaifa hili.

Mkuu kamfufue Sheikh Yahaya Hussein au wasiliana na mirithi wake pale Magomeni Mwembe chai :D:D:D:D:D:D
 
Jamani I'm very serious on this issue.
Nataka nikasomee degree ya betting or online gaming.....ni fursa nzuri sana kwa kipindi hiki. Ukiwa na shahada ya betting au online gaming unapiga mpunga mrefu sana ukizingatia makampuni ya aina hii yanazidi kuongezeka Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Wataalamu wanasema ni sekta inayotarajiwa kungiza mpunga mrefu zaidi takribani dola trilion 2 ifikapo 2020.

Kwa hiyo nipo kwenye maandalizi ya kujiandaa yajayo yasinipite.
 
Mimi niko fiti kalkiti. Nilitumia kama mwaka kujifundisha haya madude. Nilipoanza kushusha mikeka, kuna mbetishaji akanifungia nikawa nashindwa kuweka mikeka nikaacha. Alijaribu kunidhibiti kwa namna zoote nikawa namchomoka. Ningeendelea na spidi ile, kwa sasa ningekuwa nimeshajenga ghorofa.
Are you sure that there is no too much salt in your food
 
Mkuu....unataka kuanzisha kituo au unataka kuanza kubett
Nataka kuwa mtaalamu wa maswala ya esports and betting as professional.
Niwe na degree au masters ya esports or betting,kuna fursa naiyona mbele yangu kwa hiyo naitaji taaluma hii kama inavyokuwa taaluma nyingingine i.e Engineering,Human Resources, Business Administration n.k
 
Mkuu....kwanza inabidi uwe mtu wa kupenda mpira sana uwe unajua league nyingi sanaa sio kidogo pili inabidi uende makao makuu ya hizi betting center kwa Dsm
 
Betting industry sio mprira peke yake, kuna michezo mingi sana,lakini lengo langu kuu ni kuwa mtaalamu m-bobezi katika maswala haya ya esport and online betting or esports book makers
 
Ndio mana nimekwambia ushauri huo Mzee kama upo free kesho nenda makao makuu mfano sportpesa waulizie watakupa ABC
 
Back
Top Bottom