Hii ni aibu kwa Mamlaka ya viwanja vya ndege

Hii ni aibu kwa Mamlaka ya viwanja vya ndege

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
331
Reaction score
685
Kuna bango la ratiba za ndege uwanja wa JNIA kwa muda sasa halifanyi kazi. Ni kweli mamlaka inashindwa kutengeneza ili abiria ajue muda wa ndege kuingia, kutoka na mabadiliko ya ndege kama yapo?
IMG_3756.JPG

Isiishie hapo, hadi vitoroli vya kubeba mizigo navyo vibovu unakuta tyre mbovu sijui wanajiskiaje wahusika
 
Last edited:
Kwetu hilo ni tatizo dogo sana, tunashunglika na matatizo makubwa lakini bado nayo yatushinda. Kwahvyo sisi ni kudadia dadia tu.
 
Hiyo hali ni moja ya vivutio vya utalii kwani wazungu wanapofika na kukuta hali kama hiyo hapo ndo wanapojua sasa tumefika Afrika kwamaana huko kwao ni nadra sana ktk viwanja vya ndege kukutana mambo kama hayo
 
Back
Top Bottom