Duka la Miniso: Mlimani City Mall

Duka la Miniso: Mlimani City Mall

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
 
Hata Beijing na Shanghai niliingia na kununua bidhaa za kichina lakini zenye ubora mkubwa, ila kwa hapa dar sijawahi.
 
BEWARE FOLKS! Miniso wanajinadi eti "Japanese Design" na nembo ya kijapani juu, but its all a gimmick. Other than the fancy, colorful Japanese-style packaging for their products, in actuality they peddle the usual cheap, low-quality Chinese trash people are so used to.
 
Mchina anatengeneza ubora kutokana na pesa yako
Tru dat. Hakuna asiyejua hilo. Lakini hawa Miniso wanakuja na utapeli wa kujifanya bidhaa zao ni za ubora wa Japan wakati ni Wachina. Hata maandishi ya Kijapani kwenye bidhaa zao ni feki.
 
Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Wanauza bidhaa gani?
 
Wanauza bidhaa gani?
Ee bana tembelea mwenyewe ujionee. Wanauza a mumble-jumble ya bidhaa kama toys, stationery, kitchen utensils, phone accessories, underwear, etc in short vitu ambavyo mtu wa kawaida huhitaji lkn ukiviona utanunua out of impulse. Its all about consumer psychology if you ask me.
 
Sawa sa Made in Tanzania ni lini??? au kazi kujua ubora wa China na Japan... Ulimwenguni kila kitu ni fake hadi haya maisha ni fake mwanzo mwisho. Sasa mkitaka bidhaa ambazo zinaubora mtengeneze wenyewe ubora wenu ambao nao utakuwa ni fake.
 
Siyo Kila Mzungu Ni Padre Wengine Wapelelezi Kama
Wakati Walipokuja Wakina Karl Peter Kwa Gear Ya Kusambaza Injili

Karl Peters hakuja kusambaza Injili rekebisha hapo. Krapf na Rebmann sawa.
 
Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Kwahiyo unasemaje??
 
Kwahiyo unasemaje??
Waache kudanganya au kuwapa picha wateja kuwa bidhaa zao zina ubora wa zile za Japan. Waache kutumia "Japan" na "Japanese" kwenye advertising ikiwamo maandishi ya lugha yæ Kijapani kwenye nembo yao na kwenye bidhaa zao.
 
BEWARE FOLKS! Miniso wanajinadi eti "Japanese Design" na nembo ya kijapani juu, but its all a gimmick. Other than the fancy, colorful Japanese-style packaging for their products, in actuality they peddle the usual cheap, low-quality Chinese trash people are so used to.
Mbona ineleweka bidhaa zinaandikwa british design haina maana made in britain yaweza kuwa made in tanzania,
 
Back
Top Bottom