Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naanzaje kujali ukumbi au shamba ilhali kila mwezi nadaka milioni 50?! Kisiasa milioni 50 ni zaidi ya ukumbi na shamba.Bora enyi wanasiasa wenzangu mnifukuze kwenye ukumbi na mvunje shamba langu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari,, kama wewe ni mdau w Kilimo kwa namna moja au nyingine yaani kuanzia kwa mkulima mfanyabiashara wa mazao, pembejeo , Dawa ,Mbegu nk. Sasa unaweza kuwafikia Wateja na walengwa wako kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wadau.. nimekumbuka zama za JK tulivyooneshwa mapicha picha ya mwendo kasi kabla hazijajengwa na ma bus kuja tumeona uhalisia.. tofauti huduma tuliyooneshwa pichani na uhalisia...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Raisi wa TCCIA bwana Octavian Mshiu akizungumza na waandishi wa habari Chama cha wafanyabiashara,viwanda na kilimo Tanzania ( TCCIA ) leo kimefanya mkutano na wanahabari katika ofisi zake jijini...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nafkr mambo yanayoendelea ya wabunge na madiwani kuachia nyadhifa zao kisa tu kuwa na mahaba na mkuu wa kaya inabidi ujiulize!! Ni kweli ni haki kikatiba mtu anao uhuru wa kuhamia chama chochote...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Hii hoja si ngeni, imeongelewa sana hapa nchini wageni wanakuja kupora fursa zetu. ukweli ni kwamba Dunia ya sasa watu ni dynamics - watu wanaingiliana katika masuala mengi sana, kwa hiyo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kada wa CCM Mwita Waitara amesema ilani ya CCM imeonyesha dhamira ya dhati ya kutekeleza kwa vitendo ahadi inazozitoa katika kuwaletea maendeleo Watanzania. Akizungumza leo Agosti 2 kwenye kijiji...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Serikali imesema inajiandaa kuja na mbinu za kisasa zaidi za ukaguzi na ulinzi katika ukuta unaozunguka migodi ya Tanzanite, Mirerani ili kudhibiti utoroshaji wa madini hayo yanayopatikana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikitika kusikia eti wafanya biashara wanaiomba serikali iruhusu uingizwaji wa nyama ya kuku toka nje. Sikubaliani na wazo hilo la kuendeleza uvivu. Watanzania tumekuwa wavivu sana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo katika harakati zangu za hapa na pale kutafuta riziki nimeiona hii acha nishee nanyi kama itawapendeza pia. Daladala la Bagamoyo to Tegeta kondakta yuke kajisahau kunitoza nauli nami nikaamua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hodi hodi hodi Arumeru ndg zangu, Wameru karibu mhe Jery Muro DC Muro akaribishwa rasmi Arusha ATTACH=full]825610[/ATTACH]
0 Reactions
8 Replies
3K Views
viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kutokana na mshtakiwa wa tano, Esther Matiko kushindwa kufika mahakamani. Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hongera nYinGi'KimaFuriKo za kiwango cha Standadi GeJi kwa WAKULIMA, maana mnatufuturisha MAPOCHOPOCHO yenye MADIKODIKO yani! 🤣 Swali: Hivi Hii sikukuu unaweza kukumbuka imekuwa na manufaa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimeshuhudia wizi mpya wa Tigo,sijui kama umeshawakumba watu wengine.Nimeweka hela,halafu wakaleta message kwamba wamekata Sh.1000,wakidai kwamba nimetumia internet bila kifurishi, wakati simu...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
BARAZANI KWA RAJAB Nyerere, Museveni na rafiki yangu Kabaka Na Ahmed Rajab SIKU moja karibu na mwishoni mwa Julai 1993, nikiwa ofisini mwangu London kwenye jarida la Africa Analysis, nilipigiwa...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Ziara ya Naibu Waziri Elias Kwandikwa imeendelea leo Mkoani Manyara, Babati na Wilayani Hanang na Mbulu,ameagiza madaraja yajengwe usiku na mchana ili kufikia malengo ya nchi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
"HII sasa ni kufuru!" Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye nafasi yake kwa sasa klabuni hapo inashikiliwa na Clement...
1 Reactions
212 Replies
152K Views
Napenda kutoa pongezi kwa member mwenzetu william j malecela kwa maombi yake TCRA yakufungua kituo cha luninga hapa tanzania mkoani morogoro (AFRICA SWAHILI TELEVISION) Chini ya kampuni inayoitwa...
4 Reactions
399 Replies
54K Views
habari wadau, wengi ni mashahidi juu ya hali zetu mitaani leo Baada ya kazi ya kufungua kanisa kuwa ni sehemu ya kupatia kipato hivyo kupelekea kuwa mengi na yasiyofata sheria na kupelekea...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom