social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
Prof Huntington katka thesis yake Military & soldiers state(1945) kazungumzia military and civil authority relation(mahusiano kati ya jeshi na raia) akihainisha baadhi ya mambo militia wata promote peace and stability,wananchi wajibu wao itakua kusupport operation mbalimbali.
Lengo la uzi huu, tumejulishwa mabadiliko katika serikali ktk ngazi mbalimbali ikiwemo uteuzi wa RC wapya na baadhi kuamishwa vituo vya kazi,tumeshuhudia wateuliwa kwa lugha ya kigeni presidential appointees wakijitokeza katika social media na vyanzo vya kimawasiliano kutoa shukrani zao za dhati ikiwemo pamoja na kuaga.
Kwa hawa wenzetu army officers hawana utaratibu kama huu sijajua chanzo n nini ufafanuzi tafadhari.