asante sana. nataka nilipe tatizo penalty sijui ni kiasi gani!Hiyo kadri unavyochelewa penalty inazidi ila hata uchelewe vipi haizidi 60000 na usipolipa mtakutana kwenye kurenew leseni
Bonyeza *152*75# kujuaasante sana. nataka nilipe tatizo penalty sijui ni kiasi gani!
Ukikutana na askari barabarani yeyote mwenye zile mashine za kutolea notification, mueleze kuwa unataka kulipia na ukimpatia nambari za usajili wa gari lako atakutolea taarifa unazohitaji kwa ajili ya kufanya malipo hayo. Easy!asante sana. nataka nilipe tatizo penalty sijui ni kiasi gani!
Great thank you!Ukikutana na askari barabarani yeyote mwenye zile mashine za kutolea notification, mueleze kuwa unataka kulipia na ukimpatia nambari za usajili wa gari lako atakutolea taarifa unazohitaji kwa ajili ya kufanya malipo hayo. Easy!