Hongera kwenu Smile Tanzania

Kylian D

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
206
357
Leo nimekua hapo ofisini kwenu enyi Smile Tanzania ki ukweli mko vizuri sanaaa. Kwanza kwa taarifa yako tu msomaja Smile Communication ndio kampuni ya kwanza East Africa ku launch voice service ya kiwango cha 4G LTE.

Kwa msaada kwako usiejua 4G LTE kirefu chake ni fourth generation longterm evolution kwa lugha nyingine LTE wanaiita 'the gold standard of wireless technology' yaani Downloading speend ya LTE ni 150 mbps na uploading speed yake ni 50 mbps(hii ni theoretically) ila read speed ni 20 mbps hyo downloading na 10 mbps uploading hivi viwango vimethibitishwa ko mataifa.

Kwanini sasa tusiwasifie kwa hili.
Lengo langu kubwa: lengo langu ilikua kuwasifieni kwa huduma yenu, ki ukweli mtu yeyote akifika hapo ofisini kwenu hajuti kuwafahamu, wadada warembo kama wote na sie wanaume hatupo nyuma watanashati kwelikweli.

Dada ulienihudumia leo sikutamani kuondoka nilitamani tuendelew kuongea na haka ka kingereza kangu kabovu lakini nilikua naenjoy sana kukusikiliza tu unavyotema madini naahidi kuja tena hata kama sina shida ila tu nitatunga ki shida cha uongo na kweli.

Mungu wabariki Smile Tanzania, Mungu mbariki dada alieni attendi na Mungu mbariki Mkurugenzi wa Smile Tanzania Ndugu Fiona McGloin.

Kweli Everything is possible when done with integrity, humility, humanity and innovation.
 
Last edited:
Kwanza ni member mpya mana ake umejiunga kwa ajil ya kuja tuma hu ujumbe pleas lipia tangazo
Member mpya ni kosa kuanzisha mada mkuu. Sio tangazo ila tu huduma yao nimeipenda, yaani makampuni yote yangekua na watu kama wa pale Smile duniani ingekua sehemu salama pa kuishi
 
Leo nimekua hapo ofisini kwenu enyi Smile Tanzania ki ukweli mko vizuri sanaaa. Kwanza kwa taarifa yako tu msomaja Smile Communication ndio kampuni ya kwanza East Africa ku launch voice service ya kiwango cha 4G LTE.

Kwa msaada kwako usiejua 4G LTE kirefu chake ni fourth generation longterm evaluation kwa lugha nyingine LTE wanaiita 'the gold standard of wireless technology' yaani Downloading speend ya LTE ni 150 mbps na uploading speed yake ni 50 mbps(hii ni theoretically) ila read speed ni 20 mbps hyo downloading na 10 mbps uploading hivi viwango vimethibitishwa ko mataifa.

Kwanini sasa tusiwasifie kwa hili.
Lengo langu kubwa: lengo langu ilikua kuwasifieni kwa huduma yenu, ki ukweli mtu yeyote akifika hapo ofisini kwenu hajuti kuwafahamu, wadada warembo kama wote na sie wanaume hatupo nyuma watanashati kwelikweli.

Dada ulienihudumia leo sikutamani kuondoka nilitamani tuendelew kuongea na haka ka kingereza kangu kabovu lakini nilikua naenjoy sana kukusikiliza tu unavyotema madini naahidi kuja tena hata kama sina shida ila tu nitatunga ki shida cha uongo na kweli.

Mungu wabariki Smile Tanzania, Mungu mbariki dada alieni attendi na Mungu mbariki Mkurugenzi wa Smile Tanzania Ndugu Fiona McGloin.

Kweli Everything is possible when done with integrity, humility, humanity and innovation.
Evaluation or evolution?
 
Kylian D hivi 4G imeanza lini kubeba voice labda naomba unielimishe hapo
Mkuu sijajua swali lako linalenga nini, sijui ndo unakataa au vp, hujui kua watu wanapigiana kupitia whatsapp na video na voice call. 4g LTE haina buffing mzee ni clear bila chenga.
Jua pia hata messenger kuna voice call bila mtandao unadhani unaweza mpigia mtu.
 
Swali langu liko specific kwenye voice call na siyo VoIP mkuu
 
Ni Kweli smile wapo Vizuri shida inachagua maeneo, na kwa upande wa Voice MB.. ... Zinakuwezesha kupiga simu Mtandao wowote na za Kimataifa kwa ujumla wako vizuri.
 
Kabisa mkuu wako vizuri sana.
Sehemu zingine hawana operation, kwa tanzania wapo Dar, Dodoma, Arusha, Mbeya, Mwanza, moshi na Morogoro ukiwa maeneo hayo haina kusumbua.
 
Back
Top Bottom