TAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA[emoji871]
Biolojia inasema kuwa baada ya tendo la ndoa, mbengu za kiume zinazoingia kwa mwanamke hufikia karibu milioni 300 na zote huanza kuogelea kwenda kukutana na...
Katika pori ama msituni:
1. Tembo ndiye mnyama mkubwa na mzito kuliko wote.
2. Twiga ndiye mnyama mrefu kuliko wote.
3. Mbwa mwitu ndie anaeaminika kuwa na busara kuliko wengine.
4. Duma ndiye...
"Idara ya uhamiaji inashikilia pass ya kusafiria ya mkurugenzi mtendaji wa @Twaweza_NiSisi, hatuna taarifa yoyote ya mahakama yenye kuidhinisha jambo hilo." - @aeyakuze. #KwanzaHabari Kwanza TV on...
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu...
Nimekuwa na maswali kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii na nimesoma kidogo SSRA lakini nina maswali, naomba kueleweshwa.
1. Natambua ni mashirika ya umma, kwa nini sio moja au mawili kwa sababu...
Wiki hii kumetokea tukio kubwa la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kati ya wafanya kazi wa serikali na sekta binafsi
Mie kiukweli niko sekta binafsi na nilikuwa nikichangia PPF sasa...
Habari wana jamvi
Naomba niandike kwa kifupi Kuhusu hili,
Wizara ya kazi inabidi iweke utaratibu wa kutoa mikataba kwa waajiriwa wa serikalini kupata mikataba ya miaka mitatu na kuendelea, Mara...
Naomba ushauri jamani ndugu zangu nilipendana na binti mmoja kwa kipindi cha muda wa miaka minne hadi sasa lakini ikafikia muda yeye baada ya kumaliza chuo tukaamua kuwajulisha wazazi ili taratibu...
Message… Habari wakuu!!
Ugonjwa wa Ebola: Tanzania iweke vituo vya uchunguzi mipakani
Kama wengi tunavyo jua ugonjwa wa Ebola umeanza kuenea huko nchini Congo na Congo ipo miongoni mwa nchi...
Bado nina kifua cha kusimama popote duniani na kujivunia utaifa wangu kuwa mimi ni MTANZANIA... Nimebahatika kusafiri sehemu kubwa ya dunia.. Hivyo nina hakika na majivuno yangu ya kuwa MTANZANIA...
It will always be a mystery that the people at the top use the people at the bottom to reach the top and to maintain their stay.
The people at the top never want people at the bottom to be equal...
Nimefuatilia hii issue ya Jiji la Dodoma kulishinda hili la Dar nikajiuliza mengi, kulikoni?
Lakini nikakumbuka mwaka juzi ilitoka tathmini ya athari za foleni kwamba foleni Dar kwa siku...
Habari ndugu zangu,naitaji kwenda tabora sikonge kilumbi,natokea mwanza na gari ndogo ya chini kidogo,naomba kufaham nikiingilia nzega tabora na nikipitia singida wapi mbali?na ninjia gani rafiki...
Naomba kujua ni reliable kiasi gani... Sjawahi tumia hii kitu, nna safari ambayo ntajitahidi kuja kuchukuliwa na taxi kutoka kitunda hadi ubungo terminal asubuhi sana.. Je naweza kuiamini uber kwa...
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika...
Habari zenu.
Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu.
Yaani...
My bad!
Wananzengo hemnisaideni jinsi ya kufanya ili NYUZI zangu zisi take off Naona na loose gravity every now and then nikidondosha NYUZI humu.
Kuna hawa wa kuwaita Modis aise wana enjoy sana...
Watu wanne wamefariki dunia watatu wakiwa ni wa familia katika ajali iliyohusisha gari na pikipiki.
Akizunguma na wanahabari leo Agosti 2, Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma Gilles Muroto, amesema...
Siku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Lakini baadae wameanza kutwambia wateja wao tuingalie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.