Leo nilimtembelea jamaa yangu kwenye Hospitali moja hapa Dar es salaam anaendelea vizuri lakini kifedha kayumba sana hasa ktk kipindi hiki kigumu kiuchumi, Baada ya kutoka nimekuja na wazo ambalo...
Kigoma. Jeshi la polisi mkoani Kigoma limewaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi huku wanne wakifanikiwa kukimbia.
Akizungumza leo Jumapili Agosti 12, 2018 kamanda wa polisi mkoani humo...
Nimesikia kua Tcra wameshafunga mjadala wa swala la channels kuonekana.
Nachotaka kujua je kwa maamuzi yaliyopo Azam hata akiomba kibali cha kurusha taarifa ya habari na mshike mshike (Michezo)...
Kumkalibisha aliyekuwa adui, tena unamkalibisha kwakumnunua. Ili auunge juhudi za mheshimiwa, akishaunga unamwami i na kumpa mpaka cheo, eeee ajinafasi. Unamwamini vipi kama moyo wake. Wote...
Mchezaji wenu huyo beki wa kulia JEZI IMECHANIKA MUDA MREFU KWELI MPAKA ANAKOSA COMFORTABILITY UWANJANI, INAMAANA NYIE SIMBA HAMNA JEZI YA AKIBA YENYE JINA LA HUYO MCHEZAJI WENU MPAKA HALF TIME...
WAANDISHI wa habari walioshuhudia askari waliomshambulia, Mwandishi wa Kituo cha Redio Wapo, Silas Mbise, wameibuka na kupinga kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, wakidai...
Kwanza naaza kwa pongezi kwa serikali yetu na kwa watendaji wote, ama hakika serikali hii ni yavitendo na imekusudia kuwaletea maendeleo ya kweli watanzania.
Hakika barabara hiyo ilikuwa muhimu...
Naomba kuelekezwa mahari ambapo nitapata huduma ya internet cafe yenye webcam na microphone nashida ya kufanya interview online na kama una computer yenye uwezo huo nipo tayari kusaidiwa ikibidi...
Haya sasa ni maendeleo makubwa sana kwa wenzetu wa China kuzindua mabasi ya abiria yanayotumia Hydrogen-fuel-cell huko Zhengzhou kwenye Jimbo la Henan ambapo katika sehemu ya kutolea moshi badala...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kukutwa na zana mbalimbali za kutengeneza noti bandia kwa lengo la kujipatia kipato kwa utapeli.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Assalam wanakamati
awali ya yote baada ya kumshurkuru M/Mungu niungane na wadau juu ya sikukuuhii kubwa zaidi kwa Waislam wote duniani. Kulingana na tangazo la NMCT(BAKWATA) swala ya Idd itakuwa...
KWANINI NILAZIMISHWE KUWEKA PICHA YA LISSU KWENYE PROFILE YANGU?
Miaka kadhaa iliyopita Sijawahi lazimishwa kuweka picha ya Sheikc Issa Ponda alivyopigwa risasi,
Miaka ya nyuma Sijawahi...
'I ain't nothing without my wife': 98-year-old man walks 6 miles each way to visit paralyzed wife in the hospital
Hope Schreiber,Yahoo Lifestyle 9 hours ago
Luther Younger walks six miles, each...
kutokana na kuongezeka kwa watu ambao wanahojiwa juu ya uraia wao lakini awali walikuwa wakitambulika kama raia halali kabisa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na waliweza kupata haki zao za...
Habarini wakuuu.
Ndugu wana jamii forum. Kwa yeyote mwenye tatizo la cancer aina zote, Ngiri, Tezi Dume, Pressure, Sukari n.k naomba tuwasiliane...njoo Pm tuone namna ya kusaidiana.
Karibuni sana
Niende moja kwa moja kwenye kile nilichokilenga,
Shuleni kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo tunakatazwa kabisa kutazamia. Mwanafunzi anayetazamia huwa anapewa adhabu. Huu ndo ukweli kwa elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.