Zanzibar

Zanzibar

yani huwa wanatucheka sana huku bara, hatujitambui kabisa, manake wao sijasikia wakihama, hata zile tetesi hakuna, wapinzani na watawala wanafanya kazi kisawa sawa na kisiwa kinasonga mbele na kupiga hatua na wafadhili wanamimina misaada tu
 
Sahihi kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar! Wewe Msholo, upepo wa siasa za visiwani unaulinganishaje na bara?
Upinzani Znz ni Cuf vs Cuf, baada ya Cuf Znz na bara kugawika.
Sasa kilichopo ni mnyukano wa ndani kati ya Cuf Lipumba na Cuf Maalimu na ndiyo habari ya mjini.
wakati huo Ccm inastarehe imepumzika.
 
Mkuu sijalinganisha nimeuliza kwanini huko hatusikii hayo ya kujiuzulu kuunga mkono juhudi za rais? Soma thread yangu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule dirisha la usajiri bado halija funguliwa, siunajua mzamin wa kule ndo wa huku pia, wacha amalize kwanza huku, japo ligi ya kule marefa ndo wafungaji!
 
Kwa upande mwingine ukikutana na mwislam anae jielewa ni ngumu kumyumbisha. Na kama ana hofu ya Mungu huwa hana unafki kabisa . Hata kaul zake utakuta hazina ubabe au vitisho kama hujaingilia iman yake tu. Jiwe kwamasifa ake akatoaga hutuba NINGEKUWA MI NDO SHEINI(...)
 
Back
Top Bottom