Ufafanuzi kuhusu kufutiwa uraia

Ufafanuzi kuhusu kufutiwa uraia

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
kutokana na kuongezeka kwa watu ambao wanahojiwa juu ya uraia wao lakini awali walikuwa wakitambulika kama raia halali kabisa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na waliweza kupata haki zao za kiraia bila shida yoyote kwa miaka mingi na waliweza kuhudumiwa na mamlaka kama vile uhamiaji Rita n.k bila tatizo lolote nalazimika kuuliza swali humu jf kwa faida ya wengi waliokumbwa au watakaokumbwa na kadhia hii ya kuthibitisha uraia wao .Hivi ukishindwa kuthibitisha urai wako labda kwa kushindwa kuonyesha kaburi LA mababu na mabibi zako au vyeti vya kuzariwa na kufa vya mababu na mabibi zakounapelekwa nchi gani hasa ukizingatia utitiri wa nchi hapa juu ya sayari yetu ya dunia na utaratibu wa kurudishwa huko kwenye nchi inayodhaniwabkuwa ndiyo yako unakuwaje unajipeleka mwenyewe au unaenda kwa eskort ,na kama una mke unaruhusiwa kuondoka naye ili kukamilisha kiapo mlichokula Sku ya kufunga ndoa vipi kuhusu pesa zako kwenye local bank na kwenye m-pesa,tigo pesa nk. Inakuwaje unaruhusiwa kwenda kuziwithdraw incase nchi wanayokupeleka hakuna mawakala wa hiyo mitandao
 
Unaweza kufutiwa uraia ukawa mtu asiye na nchi, "stateless person".

Kuna watu takriban milioni 10 duniani ambao hawana nchi kwa sababu moja ama nyingine.

Kuna wakati Albert Einstein, kwa sababu za kifalsafa za kukataa utaifa (ambazo hata mimi naziunga mkono) aliukana uraia wake wa na kuwa mtu asiye na uraia.

Hizo habari nyingine zote ulizozitaja, si lazima uwe na uraia au utaifa ili kuzifanya, kwa sababu hata wageni wanazifanya.

Baada ya kusema yote hayo, habari ya kutumia uraia kisiasa ni ushenzi wa kulaaniwa kabisa.

Statelessness - Wikipedia
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huwezi kuwa raia wa Tanzania ukashindwa kuthibitisha uraia wako.

Unashindwaje yaani???
 
Unaweza kuitajiwa uoneshe makaburi ya babu na bibi zako wakati wao waliokufa kwenye MV. Bukoba na maiti zao hazikuonekana hujashindwa bado
 
Makaburi sio kigezo kimoja cha kuthibitisha uraia wako kiongozi.

Labda uwe Mtanzania asiye asilia. Sasa babu Mtanzania, bibi mzaa babu bibi watanzania.

una ndugu kila kona.....
 
Back
Top Bottom