Kumbe shule na chuo tunafundishwa vitu vya uongo..!!!

Increase in demand=increase in supply..
.
increase in supply=increase in price(inategemea na bidhaa iliyo kwenye soko husika)...anyway uko kgm town ama?
Yeah mkuu nipo kigoma town hapa aixee PAnaitwa Mwanga
 
Wadau mambo vip? Hope mpo pouwa baada ya mahangaiko ya kutwa nzima pande za kigoma town nikaingia Bar moja inaitwa G.pub kupata Bia moja mbili ili siku isogee... Kama unavyojua tena TBC ndio star wa Habari mjini Nowadays kwenye Habari Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Eng Stela Manyanya anasema ole wao wanaopandisha Bei kipindi hiki cha ukame wa cement. #Je Alfred Marshall kwenye Demand na Supply force walitudanganya au Dr Minja wa Udbs nawe ulitudanganya kua when demand is high price lazma ipande!!!! Mbona naibu kasema atatumia nguvu kuwakamata wanaopandisha bei....!!
Mkuu unatembeleaga katubuka hapo ? Enzi hizo za o level tumekula sana nyama huko
 
Lazima bia zinazouzwa hapo G Pub zitakuwa zimeongezwa alcohol, hangover zikikutoka utakuja kusahihisha ulivyoviandika
Kivip nisahihishe Demand ikiwa kubwa price lazma ipande kwa sababu kuna shortage kama hujui uchumi kakojee ulale..
 
Nan kakuambia demand kubwa?. Pombe ni mbaya sana price imepanda due to decrease in production(sio ongezeko la demand). Sasa wazir kaangalia kwanini supply imekuwa ndogo?
 
Wadau mambo vip? Hope mpo pouwa baada ya mahangaiko ya kutwa nzima pande za kigoma town nikaingia Bar moja inaitwa G.pub kupata Bia moja mbili ili siku isogee... Kama unavyojua tena TBC ndio star wa Habari mjini Nowadays kwenye Habari Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Eng Stela Manyanya anasema ole wao wanaopandisha Bei kipindi hiki cha ukame wa cement. #Je Alfred Marshall kwenye Demand na Supply force walitudanganya au Dr Minja wa Udbs nawe ulitudanganya kua when demand is high price lazma ipande!!!! Mbona naibu kasema atatumia nguvu kuwakamata wanaopandisha bei....!!
Mbona hamna uongo wowote hapo

Yaani hiyo kanuni inasema demand ikipanda huku supply ikibaki ndogo lazima bei ipande, ama supply ikipungua huku demand ikibaki pale pale basi bei itapanda pia (hapa ni endapo serikali haitaingilia kati kulazimisha bei elekezi)

Na hii ndio inatokea sasa hivi, Serikali ambayo ni regulator anaingilia kati ili kuzuia hiyo isitokee
 
Wewe uko Kigoma badala ya kutueleza mambo ya
1. Totoz
2. Nyama choma
3. Beer wewe unatuletea ujinga.
Demand na supply zinafanya kazi kama inbicible hand of the market itakua allowed ku play. Once you cut it off. Hiyo ni habari ingine ya maingineer.
Haya wapo huko dada utamu
 
hiyo system ya price kupangwa kwa market forces ( demand and supply) ipo kwa capitalist countries, sisi tuna mixed economy sometime bei ya vitu muhimu inapangwa na serikali
 
Nan kakuambia demand kubwa?. Pombe ni mbaya sana price imepanda due to decrease in production(sio ongezeko la demand). Sasa wazir kaangalia kwanini supply imekuwa ndogo?
Sasa decrease in production si ndo demand inakuwa kubwa kwasababu supply inakuwa ndogo?
Mkuu uko sawa kweli au unabisha hata kitu uschokijua?
 
Wadau mambo vip? Hope mpo pouwa baada ya mahangaiko ya kutwa nzima pande za kigoma town nikaingia Bar moja inaitwa G.pub kupata Bia moja mbili ili siku isogee... Kama unavyojua tena TBC ndio star wa Habari mjini Nowadays kwenye Habari Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Eng Stela Manyanya anasema ole wao wanaopandisha Bei kipindi hiki cha ukame wa cement. #Je Alfred Marshall kwenye Demand na Supply force walitudanganya au Dr Minja wa Udbs nawe ulitudanganya kua when demand is high price lazma ipande!!!! Mbona naibu kasema atatumia nguvu kuwakamata wanaopandisha bei....!!
Ndio maana kuna kitu kinaitwa Price floor and Price ceiling ilimradi kuweka equilibrium price kwenye soko ili kuwalinda both wauzaji na wanunuaji endapo serikali itaona mmojawapo anaumizwa na market price(ambayo ni uwaano wa demand na supply)

serikali italazimisha kushusha bei au kupandisha

.........afu mbona vyote vipo shuleni hivi!!!!
 
Wadau mambo vip? Hope mpo pouwa baada ya mahangaiko ya kutwa nzima pande za kigoma town nikaingia Bar moja inaitwa G.pub kupata Bia moja mbili ili siku isogee... Kama unavyojua tena TBC ndio star wa Habari mjini Nowadays kwenye Habari Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Eng Stela Manyanya anasema ole wao wanaopandisha Bei kipindi hiki cha ukame wa cement. #Je Alfred Marshall kwenye Demand na Supply force walitudanganya au Dr Minja wa Udbs nawe ulitudanganya kua when demand is high price lazma ipande!!!! Mbona naibu kasema atatumia nguvu kuwakamata wanaopandisha bei....!!

we shule umesoma na haujaelimika, waziri ndio anaregulate price ? we jamaa bwana, waambie gpub wakupe llile KONYAGI KUBWA UENDELEE KUPATA
 
Wachilia kuwa mhandisi, cha zaidi ni mwanasiasa, unategemea kuna kanuni ya kibiashara itakayofanya kazi hapo?
 
Kivip nisahihishe Demand ikiwa kubwa price lazma ipande kwa sababu kuna shortage kama hujui uchumi kakojee ulale..
Hangover zimekutoka haya njoo urekebishe ujinga wako, usituletee issues Za ccnp engineer
 
Back
Top Bottom