Dar es Salaam. Kauli ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye kuhusu udhibiti wa umiliki wa zaidi ya laini moja ya simu imezua mjadala huku watu wengi wakionyesha...
Haya sasa ni maendeleo makubwa sana kwa wenzetu wa China kuzindua mabasi ya abiria yanayotumia Hydrogen-fuel-cell huko Zhengzhou kwenye Jimbo la Henan ambapo katika sehemu ya kutolea moshi badala...
Leo July 23, 2018 Afisa Mchunguzi wa TRA, Tumaini Fadhir ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Ofisa Msaidizi wa Forodha wa mamlaka hiyo, Jennifer Mushianayekabiliwa na kesi ya kumiliki...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jery Murro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.
Amesema kuwa baada ya muda...
Ukifatilia idadi kubwa ya members wa jf wametumia majina fake. Na wengine waliofungua awali kwa majina halisi waliamua kufungua ac mpya na fake ID.
Kuna sababu zilizofanyiwa utafiti usio rasmi kwa...
Mzuqa wanaJF
Ni matumaini yangu mubuheri wa afya na mnaendelea na majukumu ya kila siku hili mkono uende kinywani.
Poleni pia na pilkapilka za wiki na sasa wikendi ndio io tayari ilishabisha...
Habari za muda huu wanaJF.Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kunipa afya na uzima.
Niingie kwenye hoja yangu/swali.
Mara nyingu kumekuwa na tatizo la shughuli mbali mbali za ukandarasi...
Kwa miaka mingi iliyopita nilikuwa ni mtu ambaye naota mambo ya ukweli tu. Nikiota lazima kinatokea, liwe jambo baya au zuri. Ilifika hatua nikiota jambo baya basi nilikuwa sisemi kwa watu, kwa...
Hatimaye mji maarufu kwa biashara toka karne ya 8 unarudi Katika sifa yake ya kale baada ya mwekezaji mzawa kuanza kufanya mikakati ya uwekezaji Katika usafiri wa majini.
Wafanyakazi na kandarasi...
habari wa jamvi leo nimekaa nikiwaza kipindi chs nyuma, kile kukicha mapigano yanazuka kati ha wakulia na wafugaji, haipiti miezi mitatu utaskia wanaliamsha dude sasa hali hii naona imetulia hivi...
Kipimo kikubwa huku bara cha JPM kuchapa kazi sana ni kitendo cha wapinzani kuachia nafasi zao za uongozi kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi za Rais
Chakushangaza hayo hayatokei zanzibar.kuna...
UNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au atakuonesha. Hata hivyo, mara nyingi watu wengi husukumwa...
July 5 alikuwa mikononi mwa police kwa kosa la kusambaza ujumbe uliosema AH KWANI RAIS KITU GANI BWANA yaani alikuwa hamkubali JPM hata kidogo ila ndani ya mwezi tu kabadili gia angani,ghafla...
Salamu!
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
Kwa nini unaanza mazungumzo ya simu na neno HALLO?
Ni nani mtu wa kwanza kusema HALLO ktk...
Tanzania yenye miundo mbinu kama hii inakuja muda si mrefu kwa wale ambao hawaamini maana kila siku wanafikiri haya ni kwa ajili ya wazungu tu basi kwa taarifa yako miaka si mingi sana tutakuwa na...
Polisi mwanza wametangaza kuanza utaratibu wa kupima kilevi madereva wanaotoka bar.Unajua hiyo itaongeza mapato kiasi gani?kudos sana,nashauri jeshi la polisi lianzishe kitengo cha marketing maana...
Tupo katika awamu ya tano yenye ndoto ya Tanzania ya Viwanda lakini kuna viongozi hawapo serious.
Huu ndiyo Ukumbi wa kimataifa wa halmashauri ya Busokelo unaoendelea kujengwa na watu walio...
Habar za muda huu ndugu wanabodi,
Naomba msaada wa kufahamishwa kwenye hili 'kwanini huwa kuna picha ya Rais kwenye ofisi za umma?'
Kazi ya picha hii ya Rais huwa nini hasa kwenye ofisi hizi za umma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.