Kirungu cha mwaka 47 kimerudi.

Kirungu cha mwaka 47 kimerudi.

Ulimbukeni wa mitandao ni tatizo kwa wengi. Yaani askari anaona fahari kujigamba amepewa risasi 30 ili asambaratishe miguu au ubongo wa raia?
Ndo tatizo la kuwashirikisha watoto kwenye mambo muhimu kuhusu binadanu
 
Kile kipindi cha mchaka mchaka wa Kibiti angepelekwa kule sina hakika kama maneno haya yangetoka mdomoni mwake.
 
Kwanza KUWA MAGEREZA hakukufanyi USIINGIE JELA,,,,hiyo SEHEMU NI KAMA HOSPITAL anaingia MGONJWA,,,na HAKUNA ANAYEJITAKIA UGONJWA,,,na huko GEREZANI ataingia MUHALIFU,,,,wa KUJITAKIA NA MUHALIFU WA KUSINGIZIWA....kwa hyo asijione YUPO SALAMA KISA kuvaa HIZO NGUO ZA KIKUDA,,*****
 
Sioni tatizo, kama unaona ameongopa, haribu mtaani harafu upelekwe.
 
Akikua ataacha wahusika aliowataja majina yao hawawezi kumshtaki?
 
Back
Top Bottom