leo TBC walitutangazia kuwa ifikapo saa 4 kamili watakua na kipindi cha maisha ya the late koffi anan
Mimi nilitegemea documentary ya maana kama zile nilizozizoea HISTORY CHANNEL au CCCTV kwenye...
Kwa sasa naona clouds tv/ radio wameamua kuchukua nafasi ya tbc na azam tv kila ukiziangalia interview zao wamebezi kwa watu walio ccm au wanaohama na kujiunga na ccm walimuita waitara wakaja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 68 kati yao 62 ni wanaume na 06 ni wanawake kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji huko katika Kijiji cha Ngole kilichopo Kata ya...
Na M Chumvi.
Subra ilizungumzwa kwenye vitabu vya dini kuwa, mwenye Subra yuko karibu na Mungu.
Hili sio jambo la mchezo Bali kila mwenye akili yampasa kutafakari juu ya mambo afanyayo.
Kama...
Wadau naomba kujuzwa mahali zilipo ofisi mpya za Taxify Tanzania , inaonekana wamehama hapa walipokuwa karibu na ofisi za zamani za DSTV, tatizo ukiulizia kwa watu wa karibu hapo wengi hawajui...
Wakuu habar za juma pili,
Niende kwenye hoja,si mala moja utasikia viongozi wetu hasa wa miaka ya nyuma yani walio soma miaka ya nyuma utasikia anakwambia mm ni daktari lakini pia ni mwandisi mana...
Katika masuala yakuomba kazi Kuna kitu kinaitwa deadline au mwisho wakutuma maombi kwa mfano :deadline ni tarehe 22/8/2018 saa 9:30 alathiri, je ukituma tarehe hiyoo kabla ya Hayo masaa uko...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ametoa wiki moja kwa polisi wilayani Bunda mkoani Mara kuwakamata wanafunzi watoro na wazazi wao.
Pia, agizo hilo litawakumba watu waliowarubuni wanafunzi...
Makampuni ya Simu hayajawekewa mazingira safi ya uekezaji ...siasa inaingilia biashara yao
Taifa lipo katika ufufuo...linafufua ATCL, linafufua TTCL, linahodhi mali zilizotapeliwa kwa mikataba...
Ni familia ya mtu aliyekuwa mfanyabiashara na mwanasiasa mashuhuri nchini marekani kwenye miaka 1920s Mr Joseph Sr Kennedy yenye watoto 9 , Joseph Kennedy ktk kipindi cha ujana wake alifanya...
Zanzibar: Mtu mmoja alietambulika kwa jina Zuwena Haji Mwadini (14) mkaazi wa kijijini Makunduchi amekutwa amejinyonga nyumbani kwao kwa kutumia mtandio .
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo...
Mnyama fisi ana majukumu mengi sana yaliyopitiliza.
Wachawi wanampenda sana fisi hasa kama chombo cha usafiri. Katu hawatumii wanyama wengine kama simba, mbweha, ng'ombe, punda n.k!
Kwanini...
Wasalaam wakuu!,
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza. Mimi n mhitimu Wa Kada ya kilimo na mifugo, sasa nmeona fursa ya kufungua duka la zana za kilimo na mifugo kijijin kwetu. Tafadhari...
Wanabodi ya JamiiForums,
Tanzania ina upungufu mkubwa wa umeme, lakini tukiangalia miaka ya awamu ya kwanza chini ya Mwl. J.K Nyerere, Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kulikuwa na juhudi...
M Chumvi
Mungu ndiye anapanga nani aishi wapi na kwa muda gani, hili linabaki kuwa siri yake.
Wakati mwingine watu hujisahau na kuona maisha anayoishi ni kwa ujanja wake kumbe laaa..
Mamia ya...
habari za muda huu wakuu kama kichwa cha habari kinavyos0meka hapo juu wakazi wa daresalama siku hizi tunapata shida sana hatuna uhuru kama zamani ule hasa huku uswahilini wagambo wa makonda...
Jana usiku TBC kulikuwa na mahojiano yaliyo mhusisha Waziri wa mambo ya ndani mheshimiwa Kangi Lugora.
Ni jambo la faraja kuwa mheshimiwa waziri aliliongelea hili kwa uchungu sana akionyesha...
Plata o plomo/Fedha au risasi.
Ni msemo wa kispaniola uliobuniwa na akina Pablo Escobar, bwana unga maarufu nchini Colombia mwishoni mwaka miaka ya 1970s. Kauli mbiu hii iliwalenga marafiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.