GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,769
- 960
Assalam wanakamati
awali ya yote baada ya kumshurkuru M/Mungu niungane na wadau juu ya sikukuuhii kubwa zaidi kwa Waislam wote duniani. Kulingana na tangazo la NMCT(BAKWATA) swala ya Idd itakuwa Jumatano ya 22 Agost 2018. kwa lolote na chochote unachojuwa au una[enda kujuwa juu ya Idd hii au Hijja kwa ujumla share nasi hapa. Natumai wanazuoni wapo tele
Ahsante
UPDATES
leo jumatatu ya 20/08/018 ndio siku ya ARAFA yaani hatua ya mwisho kabla ya kuswali idd, siku hii ni lazima kwa muislam ambae hajaenda Hijja afunge na siku inayofuata ni swala ya idd.
UKINZANI
kwa nchi kama Tanzania tu,ekuwa na utofauti wa siku ya idd hii kwa sababu ambazo sio za msingi, mf muda na siku kwa nchi yetu ni sawa kabisa na nchi ambayo Hijja inafanyika-SAUDIA. saa moja ya Tanzania ni sawa na Saa moja huko Makkah yaani hakuna tofauti ila jee kwani tutofautiane katika idd.
ilibidi iwe fursa lakini imekuwa balaa