Azam TV ombeni Kibali Cha Taarifa Ya Habari

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,544
Nimesikia kua Tcra wameshafunga mjadala wa swala la channels kuonekana.
Nachotaka kujua je kwa maamuzi yaliyopo Azam hata akiomba kibali cha kurusha taarifa ya habari na mshike mshike (Michezo) anaweza pata? Au ndio basi tena?
Sielewi tatizo linakua wapi, yaani ugumu ni nini hasa kwa tv kufikia kutangaza habarihabari,
Cha kushangaza zaidi Azam wanarusha habari kupitia App yao, pia wanarusha habari kupitia Azam Fm(Uhai)
Sasa inashangaza huko walipata vibali? Au shida ni Video?
Nimeizoea na kuipenda sana Azam tv,
Hakika hili lililotokea limefadhaisha sana.
Azam ombeni Kibali tafadhali.tumewamiss Charles Hilary na dada Ivonna
 
The real Super brand
IMG_20180801_150230.jpg
 
Wateja wa azam nawaonea huruma sn,nadhani sasa imefika wakat azam atoe tamko kwann taarifa hamna
 
Azam wamenifedhehesha mno...haiwezekani uwekezaji wote Wa namna ile halafu washindwe hata kuingia mkataba na tcra Wa kuonyesha hata taarifa ya habari,sasa lile studio LA kisasa LA kazi gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom