Ujenzi wa njia 6 kimara - kiluvya waanza.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,538
Kwanza naaza kwa pongezi kwa serikali yetu na kwa watendaji wote, ama hakika serikali hii ni yavitendo na imekusudia kuwaletea maendeleo ya kweli watanzania.
Hakika barabara hiyo ilikuwa muhimu sana kutanuliwa kwani ndio lango kuu la uchumi wa nchi yetu, nchi mbalimbali zinatumia barabara hiyo, hiyo ni vyema barabara hiyo ijengwe kwa kuzingatia viwango vya kimataifa. Mungu ibariki nchi yetu.
 
Ila imeanza kimya kimya bila jiwe hadi raha

Kama jiwe hajaipa promo itakua anasubir chama pinzani watoe kasoro kwanza
 
Mola a tuongoze na ku tubariki milele yote
 
Kwa ushauri wangu wangefanya 2/2 lanes kwa maana kuanzia round about ya Kimara mwisho wangeanzia pale ujenzi wa Bara Bara moja iende sambamba na iliyopo hivyo kutengeneza high way, kutokea hapo hadi morogoro kwa phase one
Hii ina maana gari za kwenda uelekeo wa morogoro zipite njia iliyoongezwa mpya halafu gari zitokazo upande wa morogoro, chalinze zipite barabara ya upande wa kulia ambayo ni hii iliyopo
Hiyo ingezifanya gari zinazokwenda mwelekeo mmoja kupita upande wao na hii ingepunguza gharama, ajali na kwa muda mfupi wangejenga km nyingi mno, pia baadae wangeendelea na phase2 morogoro to Dodoma, then phase3 morogoro to makambako nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakapo kamilika barabara hii, itapunguza sana msongamano, ni wakati kwa ofisi ya mipango miji wilaya ya ubungo ikishirikiana na ofisi ya jiji/ mkurugenzi wa jiji kuutanua mji pembeni kwa kuboresha miundo mbinu ya maeneo ya kiluvya- gogoni ambapo kuna kutuo cha polisi kikubwa cha kisasa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mbezi mwisho naona "work in progress", barabara inatanuliwa si mchezo, roundabout ya kufa mtu inaunganishwa na njia ya maramba mawili.

Kwa hapa nawapa pongezi sana, Mbezi itaonekana vizuri sana.

Sent from my TA-1032 using Tapatalk
 
Kwanza naaza kwa pongezi kwa serikali yetu na kwa watendaji wote, ama hakika serikali hii ni yavitendo na imekusudia kuwaletea maendeleo ya kweli watanzania.
Hakika barabara hiyo ilikuwa muhimu sana kutanuliwa kwani ndio lango kuu la uchumi wa nchi yetu, nchi mbalimbali zinatumia barabara hiyo, hiyo ni vyema barabara hiyo ijengwe kwa kuzingatia viwango vya kimataifa. Mungu ibariki nchi yetu.

Mungu ampe nguvu raisi wetu na afya njema ili atekeleze ahadi alizo ziahidi .

na mbezi mwisho kuna ujenzi wa stendi kubwa na ya kisasa ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani, haya ndio mambo wananchi wanataka sio kelele!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom