Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
667
Naomba kuelekezwa mahari ambapo nitapata huduma ya internet cafe yenye webcam na microphone nashida ya kufanya interview online na kama una computer yenye uwezo huo nipo tayari kusaidiwa ikibidi kulipia pia
 
Nipo dar as salaam
 
Back
Top Bottom