Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za jioni wapendwa katika bwana, Sawa na mada tajwa hapo juu,imefika muda sasa nafikiria KUOKOKA yaani kuwa mtu wa tofauti na nilivyokuwa hapo awali. Nimejifunza mengi sana kwa kuwemo humu...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Katika kuperuzi JF siku zote toka nimejiunga leo nimekutana na kitu hiki 👇👇👇 Cc: JamiiForums Maxence Melo
1 Reactions
1 Replies
906 Views
Inadaiwa Kuna askari Magereza amempiga raia risasi ya kiuno hapo Mahakamani Kinondoni Dar Es Salaam. Kuna mtuhumiwa kaachiwa na mahakama...kama kawaida wakataka kumkamata tena nje, jamaa...
13 Reactions
70 Replies
16K Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliowatelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kuwatafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia. Amesema kuwa, baada ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna jambo limenistua sana; Mwanafunzi amefika katika hospitali akiwa na Bima ya Afya ya NHIF ya chuo flani hapa Dar,kisha akaambiwa kuwa bima yake haijalipiwa.Ni bima mpya ya kama miezi miwili...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nipeni cha kuzifanyia hizi 10GB maana nasiku tatu tu mbele zimalize muda wake. Kama kuna App,Game au chochote kizuri tupeana hapa niweze kukifanya. Ahsanteni.
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo vipande 23 yenye uzito wa kilogramu 60 vikiwa na thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 175. Kamanda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Imekuwa ni hulka ya watu wengi wanapofariki kuacha wosia kuwa ile nyumba ya urithi, au lile shamba, kiwanja au biashara isiuzwe na mrithi. Na nimesikia sehemu mbali mbali kwa watu waliouza mali...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Nimeshindwa kuvumilia. Pamoja na uzuri wa gari, upya, full AC na charging port, safari ilianza kuwa ya kuchosha pale nilipoona kwnye screen kuna Movie ya Kinaigeria inatafsiriwa. Serious hadi...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Pengine unafahamu au haufahamu ukisafiri kwa ndege kutoka mji waa Tokyo nchini japana siku ya jumapili SAA kumi na moja kuelekea mji wa Maryland nchini marekani unafika Jana? Yaani unaondoka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi usingizi ule wa kukesha jana yake*. *Halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi*. *Ile unaamka na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani wadau nimekuwa najiuliza sana maana na namna askari wanavopapata vyeo na kupanda vyeo, mfano koplo, Sargent, nk naomba anaejua anisaidie
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Sayari 4 ziko katika mstari angani na Mwezi unazikaribia kati ya 14 hadi 23 Agosti 2018 Zuhura (Venus), Mshtarii (Jupiter), Zohali (Saturn) na Mirihi (Mars) zinaonekana angani zikiwa katika...
6 Reactions
38 Replies
8K Views
Wananchi wa kijiji cha Kankwale katika manispaa ya Sumbawanga Rukwa, wanaojishughulisha na kilimo cha bustani za mboga mboga kwenye bonde la mto Lwiche, wamelalamikia kitendo cha kundi la watu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
TARURA wamefanya kazi nzuri kukarabati barabara za kiwango cha changarawe lakini wameshindwa kudhibiti watu wanaojiwekea matuta katika maeneo yao. Kila mtu anauwezo wa kiweka tuta sehemu yake kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chimbuko/historia ya tahajudi 'meditation' Chimbuko/historia ya tahajudi 'meditation' ~ MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mbwa hawapendi hii kitu kabisa. Haya ni matusi. Usikubali mtu akuonyeshe hivi.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanza. Baada ya kukosekana angani kwa siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 14 hadi 16, 2018 ndege ya Boeing 787-7 Dreamliner imeanza tena kukata anga na tayari imetua katika uwanja wa ndege wa...
6 Reactions
36 Replies
7K Views
Tanzania’s Ifakara Health Institute (IHI) Science Director, Dr. Fredros Okumu, is among 41 scientists from around the globe selected by philanthropies as international research scholars. Dr Okumu...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom