Tiba Tiba Tiba

Tiba Tiba Tiba

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Habarini wakuuu.
Ndugu wana jamii forum. Kwa yeyote mwenye tatizo la cancer aina zote, Ngiri, Tezi Dume, Pressure, Sukari n.k naomba tuwasiliane...njoo Pm tuone namna ya kusaidiana.
Karibuni sana
 
Mtu mmoja hawezi kutibu magonjwa lundo hapo ndio mnajichanganya na watu kuwashtukia mapema. Maospitalini madaktari hawawezi kutibu magonjwa yote wapo kila sekta na wamesomea, hata waganga wa asili wale wa ukweli wa zamani unakuta anatibu ugonjwa mmoja tuu na ni kweli anauweza. Sasa pamoja na kuorodhesha magojwa ambayo yamehindikana na mengine nafikiri hata huyajui maana ulipoandika hapo 'TEZI DUME " unaweza ukadhani ni ugojwa wa mabusha kitu ambacho sii kweli
 
Mkuu nimekuelewa vizuri sana. Kama unaumwa au una mtu ama ndugu yako anasumbuliwa Kati ya hayo magojwa tajwa hopo juu wewe njoo, Wala usiingiliwe na uoga wa wingi wa magonjwa.
Siku zote tunawapoteza ndugu zetu kwa kutoamini na kudharau Mambo ama kuchukulia vitu kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom