Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viwanja vya ndege vya JKNIA na JKIA vinatuchanganya nadhani kimoja ni vizuri kikabadilishwa jina, kama mtaamua chetu ndiyo kibadilishwe basi nashauri kiitwe Nyerere international airport(NIA)...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Nianze kwa kusema kwamba imani zetu wengi ndio zinatufanya kuwa watu wa wasiwasi na kushindwa kufurahia miaka yetu michache tunayoishi hapa chini ya jua. Unamkuta mtu msomi kabisa humu anaamini...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiama kinazidi kutuandama wabongo,walianza kuzima Bunge Live,kama masihara wamekuja kwenye blogs,sasa kwenye local Channels,kabla halijaisha jana imetoka taarifa ya umiliki wa line za simu moja tu...
9 Reactions
59 Replies
10K Views
Wakuu kwa habari za vijiweni hivi sasa barabara zote Tanzania zimesheheni tochi vilivyo. Ninaamini lengo ni kuondoa kabisa ajali barabarani wala si kuongeza mapato kama wengi wetu tunavyodhani...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Agano la kale lilikuwa kivuli juu ya agano jipya ( wakolosai 2:17). Yesu alisema alivitakasa vyote kimwingiacho mtu na hakimtii unajisi (mark 7:17-20) Nguruwe anaogopwa na wenye pepo ila sisi...
3 Reactions
74 Replies
9K Views
Habali ndugu zangu,,hiv watangazazi wa vyombo vya habari navuta picha yupo peke peke yake studio anaongea peke yake ,,,naona kama ni MTU anaembea akijiongelesha ,,,plz mwenye Taaluma na hili atupe...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
SERIKALI imetakiwa kuhakikisha waraka wa mishahara unapitiwa kila baada ya miaka mitatu na kufanyiwa marekebisho kama inavyotakiwa kisheria ili kuhakikisha haki ya ujira stahiki na kuishi katika...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Mimi binafsi nikiwaga na stress au mawazo mengi basi huwaga kuna mshikaji wangu flani hivi huyu jamaa hajawahi nishauri jambo la maana, Yeye ni kama mpumbavu flani hivi lakini ana mawazo ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana Jf nafikiri wote ni wazima ila kama kuna anaeumwa basi pole sana mwenyezi mungu atakufanyia wepesi, Lengo la uzi huu sio wa kutatanika wala sio wa kisiasa ni uzi huru wenye lengo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu muumbaji wa mbingu na nchi kwa kutufikisha tena kuiona siku nzuri ya leo,Moja kwa moja niende kwenye mada. Kama kichwa cha mada kielezavyo,nimekuwa nikijiuliza...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Katika siku za hivi karibuni kumezuka tabia ya vyombo vya habari kuenzi uovu.Si tabia za kawaida na zilizo zoeleka katika jamii yetu.Kiukweli ni tabia ngeni kabisa. Ni kawaida kabisa siku hizi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, wametakiwa kulima mazao ya biashara ili kuondokana na umaskini. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Mbulu Mhe.Chelestino Mofuga katika maadhimisho ya siku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
It is time now without local channels, I declare my interest here that I am ready to pay for local channel
1 Reactions
8 Replies
1K Views
..ukimsikiliza huyu mama ambaye amempoteza mwanae unaweza kulia kwa uchungu. ..familia haikubaliani na maelezo waliyopewa kuhusu kifo cha mpendwa wao. ..katika mazingira kama hayo nini...
4 Reactions
47 Replies
7K Views
Tafadhali mwenye ufahamu kuhusu nani anastahili kulipwa gratuity anijuze au tujaribu kushauriana. Je malipo ya gratuity ni automatic au lazima iwe imetajwa kwenye mkataba wa ajira. Ni sheria...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wanajamvi na wasalimu kwa niya Safi tu. Msema kweli NI mpenzi wa MUNGU, Mimi kuhusu Mambo ya UCHUMI hakuna ninacho jua Sasa Basi ninacho taka munijulishe NI 1)NCHI NGAPI ZA KIAFRIKA ZILIZO TOKA...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani wadau mwenye kujua kuhusu hatima ya fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii anijuze!natanguliza shukrani.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema kuwa ni kinyume cha taratibu kwa baadhi ya wateule wa wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwaweka mahabusu watumishi wa umma kwa pindi wanapoonekana...
17 Reactions
141 Replies
18K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa Mhasibu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Gryson Mnyawami baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa zaidi ya Sh9...
3 Reactions
89 Replies
11K Views
Habarini wadau. Hii nchi tunapoelekea nahisi tunazidi kulemazwa kwa kukaa nyumba ya keyboard na kutumia id fake. Kwa yanayoendelea humu nchi katika uminywaji wa haki, hakika hamna mbadala zaidi ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom