Habari za muda huu wana jamvi, kuna tabia mbaya sana sana hasa katika taswira ya nchi yetu ambayo imejirudia mara nyingi inaendelea kwa wafanyakazi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Wiki hii marais kutoka Africa (Tanzania imewakilishwa na PM Kassim Majaliwa) walikutana na Rais wa China ambapo China iliahidi kutoa msaada na mikopo 'isiyo na masharti' ya jumla ya Dola bilioni...
Mswaada huu una lengo kuu la kuanzisha Board ya walimu Tanzania (Tanzania Teachers’ Professional Board) ambayo ita-deal na kusajili walimu, udhibiti wa viwango and professional conducts...
Yupi mzuri kati ya baba hawa: Baba wawili wote kila mmoja anafamila yake na kila mmoja ana ammount ya pesa laki moja ya kutumia mwezi mzima na familia yake. Sasa mmoja anaamua kutoka nje kutafuta...
Babu yangu aliwahi kuniambia.... 'Mjukuu wangu hakuna kifo kinachokosa sababu.... 'Nilimuamini kisha nilimuelewa..... Lakini nyakati zimepita, yeye hayupo tena RIP babu... Siku hivi vifo visivyo...
Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna...
Tunalia.
Tunatoa machozi.
Tunaomboleza.
Tumelilia serikali zaidi ya miaka 20 sasa juu ya miundo mbinu mibaya mkoani Mbeya.
Wakubwa toka awamu ya pili, hawasikii, hawaoni.
Lakini tukifa kwa ajali...
Huyu jamaa toka niko shule ya msingi namuonaga hivyo hivyo na mapanga yake, halafu nasikia ukitaka kununua hauzi.
Huwa anatembea huku anachana mistari.
Stori zake wanasema jamaa ni wa "Kaunda...
Leo hii kila kiti kitu kibaya ni shetani;kila anaefanya uovu husingizia nimeponzwa na shetani;kila anaesali humlaani na kumktaa shetani wakiwemo wenzetu wanaompiga mawe kule uarubuni na sisi...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, kuna ukweli kua vyama huru vimekosa wateja mpaka wameamua kuweka matangazo barabarani, kwenye mitandao.
Utakuata ukitaka kujiunga na chama fulani...
Kuna kasumba mi naiita ni ujima,
Ile ya kuwaona watu wanaofanya ngono kwa makubaliano kuwachukulia kama wanafny Bonge la kosa!
Kuna watu huwa wananishangaza, Eti kisa siyo wanandoa basi ni kosa...
Soul viruses
Ni dhahiri kuwa moja Kati ya janga kubwa ni uwepo wa virusi vya ukimwi(HIV) ambavyo vikiingia kwenye mfumo wa damu vinaenda kuharibu kinga ya mwili.
Virusi vya ukimwi huenezwa kwa...
Hivi kama suala liliishashindikana, kuna ulazima gani msemaji wa serikali ajitokeze na kukaa mbele ya Tv kuanza kuudanganya umma kuwa kuanzia Trh 05/9/18, chaneli zote takribani 32 za FTA zitaanza...
Maana najiuliza hivi ukiwa serikalini ni rahisi kweli kuvuta msuba kama uraiani
Pia rasta au dread ni ruhusa kuwa nazo kama South au Ulaya
Je,kuna viongozi wanaovuta msuba na wanatekeleza...
Wanafamilia hao walifika shuleni hapo jana mchana kwa lengo la kuhoji ni kwa nini walimu walichukua jukumu la kumhoji mwanafunzi huyo bila wazazi kupatiwa taarifa.
Nipo naangalia mubashara ziara ya Rais mkoani Simuyu kupitia kituo cha TV cha TBC, kwa kwel TBC picha zenu sio nzuri zinamawingu mno alafu watu hawaonekani vizuri sijui tatizo ni nini hata, mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.