masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,920
- 15,166
Tunalia.
Tunatoa machozi.
Tunaomboleza.
Tumelilia serikali zaidi ya miaka 20 sasa juu ya miundo mbinu mibaya mkoani Mbeya.
Wakubwa toka awamu ya pili, hawasikii, hawaoni.
Lakini tukifa kwa ajali, wanatukumbuka haraka kwa rambirambi, na hapo ni mwanzo na mwisho.
Tutaendelea kufa, kuumia, kukatika viungo.
Mungu tusaidie.