Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napendekeza uwepo utaratibu wa kutoa mitihani kila mwaka kabla ya kutoa leseni kwa wafamasia ngazi zote sababu ni kuwa;Wengi hawajisomei na wanaonekana kuwa incompetent sana wanapokuwa...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Kwa Bahati mbaya sana kuna kikundi kimoja mtandaoni ambao wanawatapeli watu wakijifanya wao ni kikundi cha vikoba, kwa kutumia jina la Rais wetu mstaafu wa awamu ya 4 Jakaya Kikwete Wanawahimiza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais John Magufuli ametaja moja ya sababu zilizomfanya kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Valentino Mlowola kuwa alishindwa kushughulikia mgogoro...
4 Reactions
41 Replies
11K Views
Kichwa cha habari kiko wazi mithili ya jua la saa sita mchana...!
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Inawezekana wengi tumeshashuhudia mambo haya yakifanyika kwa baadhi ya watu wetu wa karibu au jamaa wa karibu japo mimi hayajanikuta ila huwa najiuliza Hivi inakuwaje inakuwa ni rahisi sana mtoto...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jean -Pierre bemba Makamu za zamano wa raisi wa Congo DRC bwana Jean-Pierre bemba na kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, amepigwa marufuku kugombea uraisi wa nchi hiyo utaofanyika mwezi...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Ukizunguka karibu mikoa Yote na aina ya nyumba tunazojenga zinafanana ila znatofautiana mikunjo tu kwa asilimia kubwa. Mtaani kwetu watu wanashusha majumba ya ajabu lakini karubu asilia 98...
20 Reactions
94 Replies
12K Views
JAUME na RAMIS raia wa Barcelona jana tarehe 06/09/2018 wamefunga ndoa ya kihistoria ndani ya Boma la kitamaduni la kimaasai liitwalo Naigoti Emanyata lililopo Olduvai, Idara ya PC wakishirikiana...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Tulikua tumezoea mtu mwenye pesa anaweza akafanya jambo lolote, mimi tofauti yangu mtu mwenye pesa anaweza akafanywa chochote,..kwa hiyo lazima mjue hii tofauti" RAIS MAGUFULI
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Wa ndugu huyo anayeonekana kwenye hiyo video ni nani? Inatia huzuni na majonzi mtu aliyekuwa vizuri, leo hii yuko katika hali hii. Namshukuru kuwa anaendelea kumwimarisha.
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo nimepoke ujumbe kwa njia ya email kutoka hawa mabwana wanaojiita T-MOBILE, ukisomeka kwamba nimefanikiwa kujishindia $1,000,000 (almost TSHS 2 Billion!!!!). Hebu wadau naomba muusome huo...
1 Reactions
144 Replies
18K Views
Wakati wananchi wakihimizwa kulipa Kodi na makampuni ya umma kulipa gawio inclusive, ni jambo la kushangaza taasisi zingine zinapokuja na bambikizi kushinikiza mapato kwa mgongo wa faini. Hakuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viongozi walimu wanawake wa Chama Cha Walimu Kiteto CWT wamepatiwa Elimu ya kukabilina na changamoto mahali pakazi. Elimu hiyo imetakiwa kusambazwa kwa walimu wanawake wote Wilayani Kiteto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCRA yataka wateja wa DSTV, AZAM na ZUKU waliolipishwa kuwasilisha taarifa zao Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewataka wateja visimbuzi vya DSTV, ZUKU na AZAM kutuma taarifa zao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jehi la Polisi Wilayani Igunga mkoani TABORA linamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya, Joyce Ngalama akidaiwa kumuunguza sehemu za siri kwa pasi, Mtoto wa kike > Mtoto huyo anaumri wa miaka 13.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni miaka takribani 22 tukio hili la utata na kuumiza vichwa lilitokea Mkoani Kagera. Nakumbuka ilikuwa mwaka 1996 mwezi wa mapumuziko mwisho wa mwaka kwa wanafunzi wa elimu ya msingi...
13 Reactions
97 Replies
9K Views
Habari yenu wakuu. Naomba niingie moja kwa moja katika dhumuni. Naombeni mnisadie kujua,kati ya kilimo cha kahawa na korosho kipi ghali kuhudumia? Je, soko la mazao haya likoje? Na je, kwa kila...
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Mwili wa aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi Kisumba wilayani Kalambo mkoani Rukwa Lusekelo Mwakyeja (47), aliyefariki ghafla akisimamia mtihani wa darasa la saba katika shule ya msingi Matai A...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Amefariki dunia akiwa katika hospital ya St.Kizito alikokuwa akipatiwa matibabu ya awali wakiwa katika harakati za kumpeleka Muhimbili kwa matibabu zaidi ndio akaaga dunia Alikuwa akisumbuliwa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom