Kozi nzuri ya kusomea kati ya hizi

Kozi nzuri ya kusomea kati ya hizi

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
Hivi kati hizi kozi ipi nzuri
1. Computer engineering
2. Computer security
3. IT
4. ICT
5. Software engineering
6. Computer hadware.

Wana jf nambieni ipi nikomae nayo niwe master wa computer jmn
 
kumbuka kwa course utakayoenda uwe mjanja mjanja(mbunifu) utafika mbali kwa upande wa hizo course mkuu
 
Mkuu yani hujui hata usomee nini ? Acha tu mambo ya Elimu mkuu wangu
Kwa level uliyofikia nilitegemea uulize utendaji kazi wake ili uone mwenyewe ipi inakufaa
 
Mkuu yani hujui hata usomee nini ? Acha tu mambo ya Elimu mkuu wangu
Kwa level uliyofikia nilitegemea uulize utendaji kazi wake ili uone mwenyewe ipi inakufaa
Suala la kuuliza ni kozi gani nzuri kati hizo ndo road ya kunielezea utendaji kazi wake unaweza ukaona sipo sahihi kuuliza lkn kuna kitu nakihitaji nijue mkuu so tell me which is more better!
 
Suala la kuuliza ni kozi gani nzuri kati hizo ndo road ya kunielezea utendaji kazi wake unaweza ukaona sipo sahihi kuuliza lkn kuna kitu nakihitaji nijue mkuu so tell me which is more better!
Ooh
Mkuu basi tusubili wajuzi. Mimi nilisoma HKL so hizo mambo sijui kabisa
 
Back
Top Bottom