TBC badilikeni

TBC badilikeni

christeve88

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
3,338
Reaction score
5,492
Nipo naangalia mubashara ziara ya Rais mkoani Simuyu kupitia kituo cha TV cha TBC, kwa kwel TBC picha zenu sio nzuri zinamawingu mno alafu watu hawaonekani vizuri sijui tatizo ni nini hata, mara matangazo yakatike yaani ni shida.
 
Kingamuzi cha free hicho njoo Azam
Naomba niache kuangalia hii ziara.
Lugo anasema;
Usalama wa rais oyeeeee!!!!!!
Amani ya magufuri oyeeeennnn
Sijui kama analielewa anachokiongea
Hivi sijamwelewa unajua!!!
Anyway ngoja niache kuangalia
 
Walinichekesha siku ile bandarini Wazir Mpango anasema makontenna yalipiwe kodi wao wakavuruga habari et mitambo imekorofisha ila sie wengine tuligundua janja yao
 
hivi mnapata wapi ujasiri wa kuiangalia hii TBC, mbona mimi najaribu kuutafuta huo ujasiri angalau niangalie hata sekunde 10 tu nashindwa, mnatumia mbinu gan wakuu.
 
Back
Top Bottom