Kwa walioishi Iringa Mjini huyu Jamaa wanamfahamu sana

Makosa

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
1,183
2,612
Huyu jamaa toka niko shule ya msingi namuonaga hivyo hivyo na mapanga yake, halafu nasikia ukitaka kununua hauzi.

Huwa anatembea huku anachana mistari.

Stori zake wanasema jamaa ni wa "Kaunda Suit" sasa sijui ni kweli au za vijiweni
467775_4439520458900_846021874_o-1.jpg
 
@Chaliifransico afahamu au asifahamu ni juu yake
Kwa mnavyowekaga picha wanawake humu ambao hatuwajui huwa wanajua kuwa wanajadiliwa?

Sio mtoto huyo, huyo ni "Celebrity" wa Iringa.
 
Huyu jamaa toka niko shule ya msingi namuonaga hivyo hivyo na mapanga yake, halafu nasikia ukitaka kununua hauzi.

Huwa anatembea huku anachana mistari.

Stori zake wanasema jamaa ni wa "Kaunda Suit" sasa sijui ni kweli au za vijiweniView attachment 859948
Huyo ni chizi tu.Utakaa kumuwazia kumbe bure tu.Chizi mapanga shaa wa Frelimo.Anauza mapanga kwa kiburi utadhani anauza uzima wa milele.Gunioko gunioo huyo!!
 
@Chaliifransico afahamu au asifahamu ni juu yake
Kwa mnavyowekaga picha wanawake humu ambao hatuwajui huwa wanajua kuwa wanajadiliwa?

Sio mtoto huyo, huyo ni "Celebrity" wa Iringa.
Ni makosa kisheria mkuu kutupia picha ya mtu mtandaoni bila ruksa yake. Pia siitwi "Chaliifransico" naitwa "chaliifrancisco"
 
Huyo ni chizifresh wa Frelimo tu.Utaumiza akili kumjadili mtu anaye-rap kihehe cha hovyo?Sawa na kumsikia chizi wa kinyamwezi ana-rap..."wafwansha nsoni,wafwanshaaa!Kalimwisindeee"...Merde!
 
Mkuu sio kweli huyu jamaa ni kweli wa muda mrefu ktk hiyo biashara na UKWELI UKIULIZA BEI lazima ununue atakulazimisha sana. Ni kichaa kama kichaa mwingine tu
 
Back
Top Bottom