Tanzania miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua zaidi 2018

MdengestanfromCuba

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
572
573
Fastest growing economies, 2018.
- Libya: 16%
- Ethiopia: 8.5%
- India: 7.4%
- Rwanda: 7.2%
- Bhutan: 7.1%
- Bangladesh: 7%
- Senegal: 7%
- Cambodia: 6.9%
- Myanmar: 6.9%
- Laos: 6.8%
- Philippines: 6.7%
- Djibouti: 6.7%
- Vietnam: 6.7%
- China: 6.6%
-Tanzania: 6.4%
- Ghana: 6.3%
- Turkmenistan: 6.2%

Source: IMF
 
Kwa ukuaji huo, ila bado watu wanalia pesa hawaioni
kulia pesa hata marekani na nchi zote za ulaya na china kote na kote unakokusikia watu wanalia shida tena wanalia shida kuliko sisi kqa kigezo chao cha uhuru wa kuongea, ndio maana kiuchumi ni vizuri kuangalia takwimu, maneno hayaishagi
 
Hizo poroja za kila awamu ila mwisho WA ck hohehahe
 
Back
Top Bottom