Hivi kuna uwezekano ktk Watumishi wa Uma wakawepo wanaotumia kilevi cha bangi..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Maana najiuliza hivi ukiwa serikalini ni rahisi kweli kuvuta msuba kama uraiani

Pia rasta au dread ni ruhusa kuwa nazo kama South au Ulaya

Je,kuna viongozi wanaovuta msuba na wanatekeleza majukumu yao vyema

Maana Obama alikuwa smoker!yaani mvutaji.sijui rais Uhuru

Insta:kaukwaju
 
Ungelieleza kwanza faida na umuhimu wa hiyo minywele na uvuta bhangi, ndiyo uje utiririke na hilo swali lako.
 
wavuta bangi mko wengi serikalini kudhibiti hali hii wizara ya elimu ihakikishe kijana anapoitwa kujiunga na masomo ya advanced level apimwe matumizi ya madawa ya kulevya ilikupunguza hali hii maana wengine huanza wakiwa watu wazima.nilichokiona arusha huenda ni madhara ya matumizi ya hii kitu
 
Bangi ilipaswa kuwa halali na sigara iwe haramu.

Huwa naitumia atleast mara tatu kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom