moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Mswaada huu una lengo kuu la kuanzisha Board ya walimu Tanzania (Tanzania Teachers’ Professional Board) ambayo ita-deal na kusajili walimu, udhibiti wa viwango and professional conducts.
*USAJILI*
Walimu wote watapaswa kusajiliwa na kupewa leseni ya kufundishia endapo mswaada huu utapita bungeni. Kutakuwa na usajili wa aina tatu;-
*(a)* Temporary registration, for two yrs (special for foreigners)
*(b)* Provisional registration, for three yrs,
*(c)* Full registration
Mwalimu anayetaka kusajiliwa anapaswa kutuma maombi kwa msajili pamoja na gharama za usajili.
*BOARD KUANZISHWA*

*MAMLAKA YA BOARD*
Mamlaka ya bodi ni pamoja na kutoa onyo, hoja ya kufukuzwa au kuondolewa kabisa kwenye orodha ya usajili kwa mwalimu atakayefanya kosa na kuhukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita au atafanya kosa dhidi ya maadili ya taaluma ya ualimu au kushindwa kufata mashariti ya usajili. Bodi pia inauwezo wa kukataa kumsajili mtu na sababu za kukataa kuambatanisha ndani ya mwezi mmoja.
*SIFA ZA KUSAJILIWA*
Pamoja na ghrama za usajili unapaswa kuiridhisha bodi kuwa, una tabia nzuri na ili bodi ithibitishe uzuri wa tabia ya mwombaji ni lazima iangalie kama umewahi luhukumiwa , lazima iangalie tabia yako kama ni nzuri au lah na inaweza kuangalia jambo lolote inalo ona linafaa.
Pia uwe umemaliza masomo ya ualimu na angalau uwe umefundisha mwaka mmoja (one year of full time teaching) na kwa maoni ya bodi elimu yako na uzoefu wako uwe unakidhi kusajiliwa.
*LESENI YA KUFUNDISHIA*
Baada ya kusajiliwa utapewa cheti cha usajili ambacho kitakuwa ni mali ya Board. Mwalimu hataruhusiwa kufundisha kama atakuwa hajasajiliwa, the only exception ni kwamba anaweza kufundisha akiwa under direct supervision of a registered teacher.
Mwalimu aliyesajiliwa kufundisha, ili afundishe anapaswa kutuma maombi kwenye Board ili kupatiwa leseni ya kufundishia (practicing licence)
*ADHABU*
Mwalimu atakayefundisha bila kusajiliwa au mwalimu aliyesajiliwa lakini ana-associate na amemruhusu mwalimu ambaye hajasajiliwa kufundisha wote hawa watakuwa wametenda kosa na adhabu yake ni faini isiyopungua laki tano na isiyodhidi milioni moja au kifungo cha mwaka mmoja jela au zote kwa pamoja.
Without prejudice
Sent using Jamii Forums mobile app