Pasta wa Kanisa la Covenant huko nchini Nigeria awaamurisha waumini wake wote wakati wa maombi ya usiku wavue nguo zao ili awaombee ndipo roho mtakatifu atawaingie kirahisi.
Baada ya waumini hao...
Habari zenu wadau..
Kwa anayejua ni mtandao gani hapa bongo wenye gharama nafuu ya bundle...
Nina line mbili, Halotel na Voda,... Nimekua nikiitumia Halotel kwa internet kwani nililinganisha na...
Mbunge wa Mikumi Kupitia chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Joseph Haule (Profesa Jay) Amepata msiba wa Baba yake Mzazi Mzee Haule. Poleni sana familia kwanye kipindi hiki kigumu kuondokewa...
Kwa mtu anaepataga nafasi kuangalia tbc mara moja moja atakubaliana na mimi ukiachilia mbali mambo ya siasa tbc wana mfumo mzuri wa vipindi ambavyo vipo tofauti tv zingine ila ndo hivyo vipindi...
niseme tu uhalisia, walimu wanazidi kushuka hadhi kila siku, na wanaowashusha hadhi ni watendaji Wa serikali, vyama vya walimu vimeshang'olewa meno yote! hakuna mipango mirefu ya walimu;
A). Kufa...
Habari za siku wakuu.
Ni weekend nyingine tena iliyotulivu na yenye nuru.
Nikienda kwenye mada,ni kuwa kumekuwa na baadhi ya members ambao kiukweli kila usomapo thread zao huwezi kukosa post...
Nina doc.za kutoa mizigo zimekwama Airport toka tar.10/02/2014 zipo airport nimehangaika DHL, TNT na FEDEX wanasema TRA wanakagua haingii akili bahasha yenye BL ikaguliwe wiki nzima na tena wiki...
Ukweli mchungu lakini itabidi tu tukubaliane nao kuwa kama wazungu wasingekuwepo katika uso huu wa dunia basi inawezekana dunia ya leo isingekuwa na maendelea na teknolojia ya juu kama hivi leo...
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Siku za nyuma tuliamini bajaj baadae ikaja bodaboda na daladala ndio waendesha hovyo barabarani .
Lakini sasa hivi toka wamekuja hawa uber nao limekuwa tatizo...
Mimi mwananchi wa kawaida nimesikitshwa na kitendo cha hawa wakuu kulazimisha kununua umeme wa tariff one angali kwa zaidi ya miaka miwili nimekua natumia tariff 4. Kwa zaidi ya miaka 2 umeme wa...
Nilizaliwa na kukua katika kitongoji kidogo nyasho katika mji mdogo musoma mjini. Nilikuzwa katika maadili ya kikristo na kuyashika vema. Siku zote nilitambua kunywa pombe ni jambo baya, na ni...
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation...
Shule hiyo imefungwa toka mwezi wa 8.kwa sababu ya uchafu wa mazingira sasa ofu yangu ni vipi wataweza kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne kuweza kufanya vizri kwenye mitihani yao
Mtuache tulipie hizo channel kwa gharama yoyote ile asiyeweza aende huko TING, CONTINENTAL na toto lenu bebwa STARTIMES.
Tupeni fomu tujaze kuji commit kuwa uwezo huo tunao.
Turudishieni local...
Wasichana wa Kitanzania wanaofanya biashara ya ukahaba nchini CHINA wamekuwa na soko kubwa kuliko wale wa nchi zingine. Mabinti wa kitanzania wamekuwa wakigombewa sana na wanaume wanaotafuta...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Afisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.