Kipi kizuri kati ya hivi!!!

Kipi kizuri kati ya hivi!!!

Mpendakukimbiakimbia

Senior Member
Joined
May 18, 2018
Posts
151
Reaction score
274
Yupi mzuri kati ya baba hawa: Baba wawili wote kila mmoja anafamila yake na kila mmoja ana ammount ya pesa laki moja ya kutumia mwezi mzima na familia yake. Sasa mmoja anaamua kutoka nje kutafuta nyingine ili iongezeke na matumizi yaongeze na yaweze kutatulika kirahisi. Lakini mwingine anasema hiyo hiyo elfu moja itumike viziri inatosha anawaambia watoto wajifunge mkanda yaani wale chakula cha ovyo ovyo ilimradi wabane matumizi mana mbinu za kutafuta pesa nyingine hana na zimefika mwisho mana yake huyu baba siyo mbunifu kabisa. Ila yule mwenzake anawaambie wanawe kuwa wale wanachokitaka hata kama mshahara wake ni laki moja lakini anajua kuinyetact vizuri ndani na nje na hivyo ataongeza kipato.
Yupi mzuri kati ya jk na jpm?
 
Back
Top Bottom